Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila...
Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana...
Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA
Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/-
Vinapatikan Singida Mjini.
Mawasiliano 0674212048.
FURSA! FURSA!FURSA
[emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91]
1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125(used),iko dar es salaam kijichi. Bado iko vizuuri sanaa,injini haimjui fundi, full documents,na bado ina bima.
Bei ni 1450,000 (mazungumzo yapo) ukihitaji...
Hiki nikifaa chakutengenezea chapati
Inatumia mkono
Haitumii umeme
Bei ni. 40,000 tu
Dar Es salaam unaletewa
Mkoani tunatuma
ULIPO TUPO NA CHAPATI TAMU
0719257400 Karibu WhatsApp
ree-classic-store
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
Wonderful group limited
Kwa mahitaji ya mashine za kusafisha maji kama kuondoa chumvi, magadi, iron harufu mbaya , kubalance PH ya maji , kuboost calcium na kuondoa chemical hatarishi kama...
Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki
Suti zetu ni slim body
Size 32mpka 40 unapata
Kwa bei ya Tsh 250,000
Utapata koti kizibao na suruali
Tuko kariakoo...
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni...
Wadau wanaopenda kuishi kisasa,njoo uchukue microwave used kwa bei ya kusafishaa stoo.
Model ni Matsui na Hussel Hobbs 17litres kwa shilingi elfu 60
Tupo Mabibo external Dar es salaam.
Mobile...
Bado unasumbuka na mtoto asieongezeka uzito karibu Lily lishe kiboko watoto wasioongezeka uzito unga wetu ni msafi umezingatia uwiano wa nafaka usisumbuke kukabana na mtoto Karibu uone tofauti...
64gb, no scratch no dent
Ina wiki mbili tangu itoke Dubai
Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni
Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa
Unapewa na chaja yake
Bei 250k, wa 200k msinitafute
Piga...
Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene
Inapatikana Ubungo Dar es salaam.
Njoo pm tumalize biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.