Habari wana jamii??
NYUMBA INAUZWA IPO maeneo ya tabata TOT ila Gari haliingii ndani mpaka katikaeneo la NYUMBA NYUMBA Ina vyumba vitatu na jiko na uwanja ulio baki Ni huo unaouona katika picha...
Water pump Leo =300k
Printer canon na Hp=200k
Canon: inahitaji toner
Hp: printhead imekufa
Samsung note 9=400k
Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k
Washing machine: upande wa ku spin haufany...
Wasalamu kwa wote
Mabegi yanauzwa kwa Bei ya jumla. Nikwawakazi wa Arusha na Moshi. Agiza tukuletee ulipo.
Bei ni 16,000 chini ya pic 100.
Ila kuanzia pic 100 ni shilingi 15,000.
Karibu asante...
Fridge lina sehemu ya kugandishia.
Fridge ni la mlango mmoja.
Linatumia umeme mdogo.
Fridge ni jipya. Halijatumika tangu linunuliwe.
Price: 330,000
Location: Dar es Salaam
Contacts...
Kuna mtu anahama yupo Kahama, maeneo ya Nyahanga anauza friji,
Godoro,
Jiko la gesi,
Viti plastiki,
Viti vya kiofisi,
Meza za kiofisi,
Meza za mbao,
Vyombo pamoja na mapazia.
Maongezi kwa mwenye...
Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge...
Samsung Smart TV inch 40
Free Local Tv stations
apps: YouTube, Netflix, google, Facebook, Amazon, Prime and more
Highlights
Wi-Fi, Ethernet, Screen Mirroring Technology
Full Web Browser
2 x...
Habari,
Inauzwa mashine ya kuchana mbao,imported msumemo hadi inch 26(inauwezo wa kuzalisha magogo).
Mashine ipo Dar es salaam-Temeke
Piga/sms/WhatsApp 0688 055 606
Bei ya mashine ni Milioni...
Habari za Leo wanafamilia?
Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram...
Nauza kitanda mbao aina ya mninga cha ukubwa wa 6x6. Nmekitumia kwa muda wa miaka minne sasa. Nakitoa kwa bei ya kindugu kabisa na mwingine akaanze maisha. Napatikana mtoni kijichi mbagala kuu...
SABUFA ZA MAGARI NA BAJAJI ZINAPATIKANA
DISEN SUBWOOFER
Subwoofer yenye Amplifier ndani: inch 10", Watts 1000
Mdundo Kama Wote[emoji344]
Kwa ajili ya Gari lako au Bajaji
Bei 90,000/=
Tupo...
Madefreezer mawili yapo sokoni
Yanagandisha vyema
La bruhm limetumika mwaka tu bado ni jipya kabisa good as new kwa 1.4m
Hili jingine 550,000
Piga/whatsapp 0676169893
Yalikuwa buchani nimeifunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.