Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari wakuu. Nauza Bajaj TVS, ipo Mbauda Arusha. Ipo katika Hali njema. Bei 2.3m. Mazungumzo kidogo yapo Kwa mteja atakayekuwa serious. Simu 0776655978 au 0656388678
2 Reactions
7 Replies
733 Views
overlock machine - millioni moja (1,000,000) Sewing machine - millioni moja (1,000,000) Button lock machine -millioni 2(2,000,000) Button machine - mjllion 2 (2,000,000) Kama mnavyoona kwenye...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu na Wadau wanaojua thamani ya hii kitu. Naiuza kwa bei rafiki Standalone Server Cabinet With top mounted Colling Fan, Naiuza ikiwa pamoja na Sisco Firewalls and Sisco Switch. Nauza baada ya...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Ina hard disk ya 500GB. Ina games 6. Natoa na power cable. Price: 600,000 Location: Tanga SOLD
0 Reactions
5 Replies
581 Views
Hard Disk: 500GB Model: CUH 1003A Build: PS 4 Fat Games: Call of Duty, Pes 20, Need for Speed, GTA, Batman Injustice 2 na Mortal Kombat. Controller Pad: No Asking Price: 580,000 Location...
0 Reactions
8 Replies
939 Views
Ina Speaker 3 Ina play Bluetooth Ina sehem ya Flash na Memory Card Bei 80,000/= Location Manzese Tip Top DSM Contact Call & whatsap 0678296878
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza friji aina ya sharp non frost haigandishi mabarafu inagandisha vitu ulivyoweka rtu inapoza kwa haraka bei l380k mwasiliano 0622115570 IPO ARUSHA 0712206032
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu, Bajaji ni nzima haina shida...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake Set ina vitu vyote vya kupambia cake. Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake Meza ya kupambia Nozzle 48 Kisu cha kukatia Mifuko ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakubwa ninauza simu hiyo apo bado mpya kabisa, Shida zmenitembelea Bei ni 370000 0621588209
0 Reactions
9 Replies
433 Views
Habari wana jamvi, Ninauza mbwa aina ya GSD PURE kwa bei rafiki kabisa ya kufungia mwaka. Tsh 900,000 tu. Ana mwaka mmoja na chanjo zote muhimu kachomwa. Karibuni sana. Dar es Salaam- Kigamboni.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Inaweza kukomboa mtama, mpunga, mahindi n.k (kwa saa 200kg) Inaweza kusaga mahindi, mchele, manjano, mtama , kahawa n.k( kwa saa kg 300) Inatumia motor ya 3000 watts Mashine ni mpya Unatumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ps2 slim ikiwa na vifaa vifuatavyo ✓Waya wa moto mpya ✓Waya wa AV mpya ✓Memorycard mpya ✓Flash yenye game 10 Dar es salaam Tsh 110k bei fixed 0692402211
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Ninauza mashine za kusaga siagi ya karanga yaani kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara ndogo ya uuzaji wa Penuty butter karibuni niwauzie mashine. Sifa za mashine Inasaga kwa kutumia nishati ya...
4 Reactions
62 Replies
12K Views
Brand new shoes Size 36,37, 38, 39, 40 Bei sh 30000 Dar es salam tunakufikishia mpaka mahali ulipo na mikoani tunatuma pia. Contact 0715621701
0 Reactions
14 Replies
2K Views
#Ps2 fat zipo mbili zipo full kila moja ikiwa na flash yenye game 10 #ps2 moja ikiwa full bila tv ni Tsh 100k na TV ni Tsh 150k #Zote nne ni yaani TV mbili na ps2 mbili Tsh 300k #Hiyo TV nyeusi...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Kwa mahitaji wa flat tv kwanzia inches 17 ad 55 na Subwoofer kwanzia za 65000 ad 1.5 na kuletewa mahali ulipo Dar es Salaam wasiliana kwa number number 0752245356 Kwa 140000 tu unaletewa kokote...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Ina umiliki halali na nyaraka zake. Haijawahi kufunguliwa injini Engine Capacity 150 Bei Mil. 1.3 Inapatikana DSM. Haina udalali
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajenzi Dodoma mjini na Mwembe Yanga Dar es Salaam - 0623 071 611 IERS
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Back
Top Bottom