Nauza Webcam Camera nzuri sana na ya kisasa aina ya Logitech Brio, inachukua ubora wa picha wa 4k. Naiuza pamoja na standa yake kwa Tshs. 300,000 Tu. Piga 0754 34 36 42.
Maelezo zaidi ya camera...
Kwa maswali na maongezi zaidi nitafute kwenye number 0686819779..
Gharama za usafiri ni juu yako..
Naviuza sababu naamia Arusha na sioni sababu ya kusafiri navyo itanicost mno bora nkanunue vipya...
Habari ndugu zangu...kam mjuavyo mtu ni afya na afya haiji bila kula...
Karibuni niwauzie sembe yenye ubora kwa jumla na rejareja
25kg-25500 (jumla),26000 rejareja
10KG-11000(jumla).
5kG-5500...
Ni mashine ya kuangushia miti au kupasua mbao kwa wale wazoefu wa kuitumia
Mashine iko katika hali nzuri
Tangu inunuliwe imetumia chain mbili tu,
Imebadilisha piston mara moja
Sababu ya kuiuza...
Wakuu nauza chainsaw aina na brand ni kama inavyoonekana kwenye picha. Chainsaw hii ni used, imetumika mwezi mmoja tuu. Bei yake ni 1,400,000/= tuu. Mazungumzo yapo
Mashine iko Mbeya. Interested...
Natuma ni wazima wa afya,Nilikuwa na naitaji kununua sabufa katika pita pita nimekutana nahii sabufa kwa mwenye kuifahamu vizuri anipe mrejesho kabla sijayavagaa
Habari wana JF,
Nauza sandals za ngozi OG za kike na kiume Dar..Jumla 18,000 rejareja 20,000.
Ni imara na hazipauki kirahisi wala kukakamaa.
Kwa mawasiliano nipigie 0657940974
NAUZA MEZA NA VITI VYA MBAO
meza 3 za chakula
Meza 2 kubwa kwaajiri ya counter ya mhagawa
Kuna viti 11 vipo fresh ni bado vipya vilitengenezwa kwaajiri ya mgahawa sasa vinauzwa kwa dharula
Vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.