Wadau Salaam,
NAUZA Boss Chest Freezer BE-200L WHT KAMA ILIOPO KWENYE PICHA HAPO CHINI. IMETUMIKA MUDA MFUPI. BEI TZS. 500,000 (Dukani kwa sasa ni 750,000).
IKO BUNJU, NIPIGIE 0754 34 36 42
Kazi zake;
Copying (black),
Printing (black),
Scanning (Color, grayscale, black & white),
Kwa ukubwa wa A3, A4, A5 n.k.
Inafanya kazi zote tajwa hapo juu.
Wino wake ni cheap na unapatikana sana...
Nauza mzani wa digital aina ya camry unauwezo wa kupima kg 40. Unaonesha bei na uzito kwenye screen. Bei ni tzs 95,000 tu (dukani bei 150,000). Unatumia umeme na unatuza charge kwa mwezi 1. Piga...
Habar zenu wadau,
Nchi zilizoendelea wapo mbali sana In all Aspect of life katika matumiz ya Teknolojia Economical, social, na political .
Sasa Naomba kujua hapa Tz/mikoan ni wapi naweza kupata...
Eneo la car wash Linauzwa lipo dodoma mjini.
Barabara ya iringa
Lina tizama barabara ya lami
Eneo kubwa size n kama sqm 200
Tayar lina miundo mbinu yote (Maji inajitegemea/umeme inajitegemea)
Pia...
Muundo wa eneo letu hili.
(Chumba kikubwa sana) Hall la mkutano.
ofisi,
sebure,
jiko,
stoo,
chumba cha drycleaner,
paking kubwa,
car wash,
swiming,
Mgahawa na bar,
Pia kuna nyumba ndogo pembeni...
Ni kile cha silver vya zamani ambavyo ni imara sana kulinganisha na hivi vya plastic vidogo.
Unaweza kutazama channels 7 za bure usipolipia.
Bei ya ofa Tsh 25'000 ila ukitaka na antena yake...
Luguruni
Metres 500 kutoka Main Morogoro Road
Eneo ni 25 kwa 30.
Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo .
Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo.
Kwa maelezo zaidi...
Karibuni wadau, nauza drone yangu ambayo nimenunua hivi karibuni. Bado haijasjiliwa Ni mpya ina wiki tu.
Bei 900,000tu
Mawasiliano 0716440258
Tabata Segerea.
Habari wadau.
Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu.
Aina; Boxer 125.
Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake.
Location; Kipawa Dar.
Hali yake; Nzuri...
kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri.
Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 .
kwa atakae hitaji kitanda tu 120000
meza tu 60000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.