Habari zenu
Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv
Sifa zake:
1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi
2. Ni kubwa
3. Aina ya Bosch
4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji
5...
Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.
1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.
2...
Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake.
Au kamata vyote kwa 500000...
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.
Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam.
Mnara una kila kitu chake. Machine zote.
0783985530
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk.
Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma.
Jumla na rejareja.
Pia tuna battery zenye...
Habari wadau,
Nauza printer ambayo ni photocopier pia,
Model Canon IR 2425,
Ina print, copy na Scan.
Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network,
Bei ni 2 million kamili.
Ipo Dar es salaam...
NI LAPTOP MPYA KABISA
SIFA ZAKE:
1. INA WEB CAMERA
2.INA NOTISI ZA MASOMO YOTE KUANZIA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA NNE
3.INA KATUNI, GAMES PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI YA WATOTO.
4. INATUMIA...
Jipatie begi kwa ajili ya matumizi mbali mbali ikiwemo kuweka laptop,nguo na vitu vingine
Condition: new
Colour: black
Brand:Duslang
Price:100,000/=
Tunafanya delivery popote
Contacts:0764108259
Brand new double electricity deep fryer
Fryer ya kisasa kwa ajili ya biashara
Inatumia umeme
Ina matank mawili
Inaingia lita 12 za mafuta
Bei 240, 000Tsh tu
Ina warranty mwaka mmoja Stainless...
Jipatie tiles aina mbalimbali
Kwa size 60*60, 50*50, 40*40, 30*30, 25*40
Kwa bei 50*50 _tsh 38000 kwa box..Grada A
Kwa bei 40*40 _tsh 28000, 24000 ,23000
•SQM
60*60_Sqm 1.44
50*50_Sqm 1.75...
Ongeza kipato chako kwa kununua mashine za kutengeneza ice cream au barafu za kwenye koni na ice lolly wengi wanaziita lamba lamba.
Ni biashara nzuri sana kwenye mashule,vyuo pia hata mtaani...
Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.