Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nyumba inauzwa Kinyerezi mbezi road Karibu na sheli ya Victoria Ina underground Eneo sqm 768 Fenced Mita 130 kutoka barabarani Milioni 145 0658183618
0 Reactions
0 Replies
187 Views
FoRESTER SUBARU 1990CC AUTOMATIC TSHS 24,000,000 CALL - 0716442950
0 Reactions
0 Replies
238 Views
NB📌COMPREHENSIVE INSURANCE COVERAGE IS IN EFFECT/ACTIVE✅ Bei/Price🏷️👉🏽TSH 31.8M Call📞0747 999 927 TOYOTA VANGUARD Year: 2010 Engine: 2360Cc Mileage: 79,000+ Transmission: AUTO ✨Sport Rims...
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Pata Router ya 5G kutoka Tigo – Furahia Internet ya Kasi Bila Kikomo! Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo na mwezi mmoja wa intaneti bila malipo! Hii ni nafasi ya kipekee ya...
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa pongezi Kwa kampuni yenu.Mmeleta mapinduzi makubwa 1. Kwanza gari Luxury kabla tulikuwa na kampuni zenye magari Ordinary Class tu. 2. Uhakika wa safari kufika...
2 Reactions
9 Replies
604 Views
Aisee wadau, kuna viwanja vimepimwa, viko tambarare karibu na bahari maeneo ya Buyuni centre Kigamboni. Viwanja vipo kuanzia 420sqm hadi 700sqm na bei ni 2,000,000tsh hadi 2,500,000tsh. Nicheck...
8 Reactions
129 Replies
13K Views
Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
2 Reactions
17 Replies
510 Views
Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Inakaa masaa 8 ukiichaji full. Haijatumika sanaa maana muda wote router inatumika kwenye umeme.. Mara chache umeme ulipokatika ndio ilitumika. bei 20,000 0711707070
1 Reactions
5 Replies
370 Views
Mambo vp wakuu. Nnatafuta Body ya aluminium ya Mende( Scania kipisi). Ambayo ipo kwenye hali nzur. Npo Dar esa salaam. 0693296809
0 Reactions
2 Replies
181 Views
SIMU NI MPYAAAAAAAAA Google Pixel 9 PRO XL RAM 16GB ROM 256GB Camera 50MP BATTERY 5060mh TSH.3,650,000/= Call/WhatsApp 0749417334 UBUNGO DARAJANI SIMU NI MPYAaa
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari? Una uhitaji wa BUSINESS CARDS? Naweza kukufanikishia kwa kukufanyia DIZAINI BURE na Kisha kukuletea zikiwa 100PC PRINTED kwa TSH 25,000/= tu. Material ninayotumia Ni GROSS PAPER GRAM 300...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa...
0 Reactions
6 Replies
388 Views
Habari zenu wakuu. Mwenye uelewa naomba aniisaidie hapa Natafutaa warehouse kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo, either kwa kupanga au kununua kabisa. Lakini kabla ya kufanya uamuzi...
0 Reactions
9 Replies
362 Views
Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used. Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Plot ipo barabaran kabisa Ina hati ya kisasa Plot imejengwa nyumba za kisasa za kupangishwa ikiwemo fremu saba za biashara. Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji na umeme Plot ina ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Nauza betri used zlizotumika kwenye minara ya simu Ni betri imara ikijaa mpk ije iishiwe moto sjui uwe na matumiz gani Zipo zenye uwezo wa kuanzia 100ah/N mpk 150ah/N Bei za 100ah/N ni 185000...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿. Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini. Vipi Kuna fursa ya kuwauza au...
2 Reactions
15 Replies
377 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…