Heshima yenu wakuu.
BJB FINE CLOTHING, Tumeakuandalia KNITTED TIES ZA KIJANJA, MEN UNDERWEAR (BOXER) KALI, PAMOJA NA SOCKS NZURI zenye ubora.
Our Aim Is To Make You More Comfortable And...
jenereta linauzwa masaki Dar es salaam ndipo linapopatikana KVA 20 lipo stoo limewekwa baada ya kununuliwa jingine engine ni LISTER PETER jina lake ni FG WILSON linawaka vizuri na kupiga kazi bei...
Nauza printer ndogo ya canon pamoja na laptop window surface 8 pro
processor i 5 core,4Gb Ram,memory 128 ina crack kidogo juu pembeni mwa kioo lakini inafanya kazi vizuri kabisa.bei tsh230,000...
Ramani za Nyumba
Ofaa baaa KUBWA
Wateja 10 wa mwanzo!
Pata Ramani kwa ajili ya nyumba yako kuanzia bei ndogo kabisa ya kuanzia Elfu hamsini (50) Ndioooo Kuanzia elfu 50 tu!
Kwa ramani na...
Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza.
Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia...
Ninauza mashine ya kusqfisha tiles, kukwangua rangi na kufanya skimming kwa bei sawa na bure.
Maelezo;
1. Inatumia umeme
2. Ina taa maalum zinawaka kuzunguka maahine kukuwezeaha kufanya kazi...
Habari wakuu,nauza stand ya kuanikia nguo ya plastic kama inavyoonekana hapa chini [emoji116].
Stand ipo katika hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu.
Mahali - Dar es salaam-Ilala-kitunda
Bei -...
Nauza Viatu vizuri vya kiume vyenye quality nzuri, Napatikana Temkeke Vetenary Dar es salaam
Nafanya Delivery Bure kwa Dar es Salaam (naleta kiatu sehem yoyote bure free Delivery malipo ukipokea...
Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani.
Tunapatikana tabata 0767601018.
causal leser bench 150,000.
Mito 20,000 mmoja
Zulia 15,000...
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Yapo ya rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree
Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi...
Epson Projector
Bei Tsh 450,000/-
Zimetumika Uingereza lakin zipo kwenye hali nzuri
New Lamp installed
Zinafaa kuoneshea mpira au makanisani au ukumbini kwenye sherehe
Zinatoa picha kubwa...
Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani.
Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka...
Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi?
SALE SALE SALE
Sofa la mmoja ni 30000
Sofa la wawili ni 44,000
Sofa la watatu ni 54,000
●Tuma...
Hii ni kwa wauzaji wa vifaa vya simu na mafundi wanaotengeneza simu. Jipatie usb na charger kwa bei ya jumla. Nina usb hizi original za Nokia ninauza sh. 5000(rejareja) Ukichukuwa nyingi napunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.