Habari wanajamvi,
leo nawaletea banda la biashara .
Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka
lina jiko la Gas kama unavyoona...
Imetumika miezi mitano hivi. Ni nzima kabisa, bado inafanya kazi vizuri ktk ubora wake kama ilivyonunuliwa. Upepo safi kabisa na inarotate vizuri tu. Unaweza kuikagua ukiridhika tunafanya...
Ndugu yangu anauza kabati la aluminium, alikua anauza nguo
Lipo magomeni usalama
Bei laki 2
Unaweza kuuzia nguo au stationery au dawa nk nk
Ukitaka njoo pm nikupe namba yake
Ni forehead, upande wa kulia.
Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa.
Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize.
Location DAR...
SOLD SOLD SOLD
Ni kampuni ya GEC
Imetumika miaka mitatu
Gas ipo
Taa ya ndani inawaka.
Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi.
BEI ni 150,000/=
NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA.
0687603307
BILL COUNTER MACHINE*
MASHINE YA KUHESABIA HELA
🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii...
Nauza sewing machine millioni moja
Overlock machine millioni moja
Button lock machine millioni nne
Button machine millioni tatu
Napatikana Dar
Free delivery kokote
Bei inapungua
Namba zangu ni...
Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo
2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000
3kg ziko 1280pcs kwa...
NYASHO FOOD inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000 tshs.
Mobile: 0679 147 967
Email...
Excavator inauzwa Million 250 , kwasasa ipo Makumbusho, kwa anae hitaji kuja kuiona tuwasiliane. au pia kama unataka kuikodi pia tuwasiliane, 0764531080
NB: Hii Excavator sio yangu ni ya Mchina...
BRAND:::: Iphone 12/12 PRO MAX ONLY
10,000/=
15,000/=
20,000/=
MATERIAL::TRANSPARENCY bling
DELIVERY::AVAILABLE
WHATSAPP:: #0621585708
CALL:::#0621585708
Jipatie mapazia mazuri kwa muonekano wa chumba chako.
Sh.33,000tu kwa piece mbili (upana mita 1.5 kila moja)
Delivery zipo kwa Dar na Mikoani natuma pia.
1
2
3
4
Whatsapp 0685269533
Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview
Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000
Bei imeshuka 100,000
0762165498
0778444669...
Ahsante Products inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza kwa jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000. Kwa mawasiliano piga 0679...
[emoji91][emoji91] INPODS 12 tws Sealed. [emoji91][emoji91]
SEALED BOXES
16000TSH
RANGI ZILIZOPO
WHITE [emoji836] ZIMEBAKI PCS 20 MZIGO UISHE
Free delivery in Dar es salaam[emoji1631][emoji1631]...
ELECTRONIC HEALTH RECORDS SYSTEM
FEATURES
PATIENT DEMOGRAPHICS
Track patient demographics
Primary information (name, date of birth, sex, identification)
Marital status
Contact information of...
Nakumbuka mwaka 2014 wakati nafanya biashara ya mtandao na kampuni moja kubwa tuu nilikuwa napata shida sana ya kuweza kuongea na wateja niliokuwa nawapata kupitia simu yangu.
Unakuta unapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.