Habari Wakuu nauza frij hili aina ya Indest bei poa tu 200,000 unaweza litumia hata kwa biashara kwani lina friza na inagandisha vizur sana kwa muda mfupi na halitumii umeme mwingi.
Lipo dar...
Hivi viatu naviuza bei ya kutupa vyote ni vya ngozi ngumu, utatumia utavichoka mwenyewe.
Naviuza bei ya kutupa vyote pair 2 jumla ni 50k tu.
Kikubwa hiko no 45 kidogo no 44
Location DSM
No...
Hii Airpod Inakaa na chaji siku 7 mpaka siku 10
Powerbank yake inanguvu yaani unaweza kuchajia mpk simu(2000 mah)
Ina mdundo balaa na nusu full base
Ni touch
Bei ni elfu 60(60,000 tshs)...
Habari wakuu nauza fridge kubwa ya hisense imefanya kazi miezi miwili tu bado iko kwenye hali nzuri mnoo. Bei ya fridge ni 850,000.
Pia nauza godoro 80,000 na kigari cha kubebea watoto wadogo...
kitanda size yake ni 5*6 (yani tano kwa sita, Urefu futi sita, upana futi tano)..
Kwa maana hio kitaendana na Godoro la size hio au pungufu na si zaidi..
Chaga zote ni nzima na zinakaza vizuri...
Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana
ni Mpya kama inavyoonekana wakuu.
usafiri unapewa buku 5.
Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani)
Bei laki Tatu na...
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya...
Nauza machine ya kusagia Karanga pamoja na vitu vikavu
Ina watts 3000
Inaweza kusaga mpaka gram 700 kwa wakati mmoja.
Ni brand new
520,000/ tu
0713662655
Habari wapendwa , nauza projector ndogo(mini) nzuri sana kwaajili ya kuangalia movies au mechi za mpira au kuchezea game ... ina port ya HDMI, AV , unaweza kuweka flash na micro sd card na...
Hello nauza viti classic vya ofisini, viko confortable na unaweza ku adjust urefu wake kama una meza ndefu vinakufaaa sana hivi . Bei ni 200,000 kiti kimoja (maongezi yapo). Ukihitaji nicheki...
Kitoday kinauzwa bei sawa na bure 730,000tsh.
[emoji736]Full registration .
[emoji736]Document zote zipo.
Ipo magomeni mikumi karibu kabisa na lango la jiji.
Kama upo serious tupigie 0744551655...
[IMEUZWA] IMEUZWA [IMEUZWA]
habari jamii forum
nauza printer aina ya epson L805 used
inaprint picha za rangi na karatasi za kawaida
inaprint cd na pvc cards pia
imetumika mwaka mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.