Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam.
Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet...
-Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045
- kiwanja ni Tambalale
-umbali kutoka Fery ni KM 21
umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3
kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho
Document - serikali...
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,
Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita.
Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi...
Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi.
Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi...
Natoa computer courses for beginners na computer programming classes pia.
Ms-office, excel, PowerPoint, access, publisher na programming classes kama c,c++, java.
Mwenye uhitaji piga 0759-124378...
Habari wana JamiiForums,
Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za...
Hapa kuna masharti 20 ya kulinda kipato endelevu kutoka majengo ya kupangisha ambayo yanaweza kuwekwa kwenye mkataba wa upangishaji.
Kila sharti linatoa mfano halisi ili kusaidia kuelewa jinsi...
Wana JF za kazi? Naomba msaada wenu kuna Idhaa ngapi za kimataifa za Kiswahili duniani. Naomba mnisaidie kuzitaja na nchi zilipo. nafanya utafiti. Na kwa walioko katika Funga nawatakia Saum Maqbull
Nunua kiwanja kwa bei chee.
Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20
Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9
Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6
Kiluvya kwa Sumaye...
Hi
Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china..
Mimi nauza nusu bei yaani 120,000...
Hotel Amenities kwa nusu bei!!! Tunauza Bidhaa za kipekee za kisasa.
(International Standards) Zimetengenezwa mahsusi kwa Hoteli za Nyota 3 na kuendelea. Tunazo Dental kits(Mswaki na dawa yake)...
Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council)
Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na...
Nauza gari aina ya IST namba CLW
Bei ni mil 6.6 (inapungua kidogo)
Gari ni nzima sana
Napatiakana Shekilango nyuma ya ofisi za Shabiby na mawasiliano ni: 0659781878
Madalali plz hapa si mahala...