Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo...
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja...
Tunauza sit up bench, punching ball pamoja na dumbell vyote ni 270,000 tsh free delivery in DSM ila mikoani tunatuma kwa bus wasiliana nasi 0754234121
Sent using Jamii Forums mobile app
If you have what it takes to be a good model, and you want some free photo shoot... Check out with me!
I will be taking some outdoors headshots and portraits next week from Monday to Saturday...
Simu hii RAM yake ni 2.
Internal memory 32.
Mtandao uko vizuri.
Kifaa bado ni kipya Sana tu utakipenda tu.
Ni Tsh 220000/= tu( tunaweza kuzungumzia Kama ukija powa)
PICHA IMEAMBATANISHWA.
Sent...
Zipo za ujazo wa
- 60mls kwa 8k
- 200ml kwa 15k
Kwa wateja wa dar ukichukua kuanzia 2 na kuendelea za 200ml au 3 na kuendelea za 60ml... unaletewa ulipo. Mikoani pia tunatuma kuanzia 15 pieces...
Wakati watu wengi wakiwa wamesimamisha shughuli zao(Biashara/Ajira)na wasijue la kufanya wakati huu,Kwako inapaswa kuwa ni nafasi nzuri kujiongezea kipato kwa kasi kwa kuzitambua fursa zilizoko...
kwema wakuu? natafuta iphone 5 toleo lolote kwa bei ya chini sana, au android yoyote kwa 100k maximum...niko Arusha..
Ni vizuri simu ikawa ya kwako, maana namnunulia mtu ambaye yuko kijijini so...
Tunapatikana keko ,ukifanya kazi nasisi tutakuletea hadi ulipo ,wasiliana nasisi kwa 0758006014 au tutafute instagram (rigid furniture Tz)
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota premio
Year 2004
Cc 1490
New tyre
Full document
Price ml.13
Gari nzuri sana ipo Dar es salaam
0719909691 / 0763166893
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipatie vifaa vya simu kama betri..charger..cover za simu..earphone..usb cable..memory card..flash..power bank..glass protector.. Tuna tuma mikoani kwa gharama za mteja.. Mawasiliano +255754660061
Wakuu habari zenu natafuta showroom ilokuwa nzuri ambayo inabei nzuri.. Na waaminifu kwenye gari zao sio showroom za mizengwe.. Shukran sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu.
Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei)...
Kwa mahitaji ya kuku na mayai ya kienyeji naomba tuwasiliane kwa hizi namba 0788597559
Tunapatikana soko la kuku kisutu lakini pia tunakueletea mpaka ulipo bei zetu ni nafuu sana.
Sent using...
Habari wadau,
Naombeni kujua gharama za wastani za ufundi wa kuweka Marumaru(Tiles), Maana kuna fundi amenitajia Gharama kubwa mno nikashindwa kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini.
Nimeona si vibaya kuwafaidisha wana jamii.
Niko na kigari changu aina ya IST kimepaki tu sababu matumizi yake ya mara moja moja sana kulingana na availability yangu jijini.
Nimetoka...
Habari za muda huu;
Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar.
Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push...
Habarini ndugu zangu..
Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani.
Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza)
Maji uhakika..budget 150k...
KIFAA CHA KUPIMIA MADINI ARDHINI(GOLD DETECTOR MACHINE)
BEI: 5,500,000 (MIL 5.5)
NAME : EQUINOX 800
MAHALI KIFAA KILIPO: DAR ES SALAAM
KIPO KWENYE HALI NZURI
TEL : 0759707883/ 0683126500
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.