Kiwanja kina ukubwa wa sqms 625,
Kina Boma lililofika usawa wa lenta
Boma ni lina vyumba vitatu, viwili ni master,dining na sebule .
Eneo..mwembe mdogo kigamboni.
Bei..mil 18.
Mawasiliano 0746...
Furahia ofa yetu mpya kabambe kwa waigizaji wote wa magari kutoka Japan, Dubai, Singapore, Uk, China, India, South Africa etc. Tunakutolea Magari Bandarini kwa Gharama ya 150,000 tshs. Tu...
Sofa laki mbili kila moja zipo tatu
Meza moja elfu 50 tu
Laini ya uwakala Mpesa laki moja na arobaini tu
VYOTE PIGA SIMU 0716358293 na 0744051524
Friji ipo vizuri sana na inagandisha laki...
Nyumba iwe maeneo ya Mkolani, Nyegezi, Nyakato na Igoma.
Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles,
Bei 50,000-100,000 isizidi.
NiPM kama unayo tafadhari
Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000
Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni...
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita...
Nauza mask(surgical mask) moja ni 2000 ila ukinunua nyingi bei itapungua mawasiliano 0767626242 Niko Tabora nakutumia popote ulipo Tanzania hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kiasi Cha mil 15 natafuta Nyumba, zinazopigwa minada na Bank so naomba location za Minada mbalimbali ili nikajaribu bahati
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri...
Naunza kiwanja changu kiko Mbezi Msakuzi kilomita 2.5 kutoka mbezi mwisho. Umeme upo palepale site na huduma zingine za jamii zipo. Kimeshafanyiwa preminary survey. Ukubwa: mita 20 kwa mita 21.Bei...
Habari...karibu sabuni za miche kwa bei ya jumla ..carton yenye miche 20 kwa sh..24000.. Sabuni ni nzuri..hazichubui. .zina povu na huondoa uchafu haraka..pia ina harufu iliyotuliaaaaa. ..niko...
Habarini wakuu.
Nauza kiwanja cha ukubwa wa 1700 square meters. Kipo maeneo ya Pumuani wilaya ya Moshi Mjini mkoa wa Kilimanjaro.
Umbali toka barabarani ni 120m na toka moshi mjini ni 23km...
Kwa kipind hiki kigumu cha stay home safe epuka corona a.k.a COVID-19 .
Tumekuletea huduma za nyumban karibu kwa wakazi wa DAR-ES-SALAAM unaweza kupiga number hizo hapo chini utaletewa chochote...
TUNASAMBAZA VYUNGU VYA JOTO KWA AJILI YA KUKUZIA VIFARANGA VYA KUKU KWA DAR TUPO TEMEKE MAGOROFANI PIA NASAFIRISHA MIKOANI BEI YA OFAA YA MWEZI HUU WA NANE @18000/= BEI YA JUMLA 5@16000/=...
Kwa nyakati kama hizi ambapo janga la COVID-19 limeikumba dunia, shule na vyuo mbalimbali havina budi kubuni njia mbadala za kutoa elimu kwa wanafunzi wao. Hata hivyo taasisi mbalimbali za elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.