Nauza AC yangu ya hisense inverter Nina miezi 5 toka nimenunua. Sababu ya kuuza nimehamia office mpya sasa nimekuta iko full Ac za jengo.
Price 750,000/=
Umeme mdogo Sana
Call 0692562259...
996 online Shop ni wauzaji wa Accessories za aina tofauti kama
Smartwatch
EarPods
Speak
Cheni & hereni
Saa za mkononi n.k
Location •• Kariakoo, Dar es Salaam
Call •• 0788929673
Nauza meza na kiti vya ofisini, vimetumika mwezi mmoja tu. Nimevinunua jumla laki 5 na nusu.
Naviuza laki 3 tu sababu nina hama mkoa nimepata uhamisho wa kikazi, sifungui tena ofisi.
Kama una...
* Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka.
* Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida.
* Saa ni roho ya paka inakaa miaka na...
Nauza printer deskjet 2050
Ni nzima haina wino tu nakupa na cable zake zote
bei 60,000 tu HAIPUNGUI
Haina wino tu
Weka wino piga kazi.
Ipo kimara korogwe
0677818283
BONGO CHICKS COMPANY LTD
:Ni watengezaji na wasambazaji wa mashine za kutotoleshea mayai ya aina zote kwa bei nafuu,chicken feeds,mayai aina zote pamoja na kuku aina zote nchini.
Incubator...
Mashine ni mpya kabisa,haijatumika.
Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani...
Habari zenu wadau?
Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi...
Nauza Printer 🖨 ya Epson L850
Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia
Tsh 900,000
All in one printer
Print,copy,scan
Six color eco-tank
Colored printer
Quality 💯
Napatikana Dar, Mbweni...
Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb
Nauza Tsh 600000/= laki sita
inacheza games zote wakuu niwewe tuu
na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika
0657977457
📍Dar es Salaam
Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu...
Star x imenyooka haina kipengele ipo kwenye box lake imetumika mwez mmoja tu bei laki mbili tu 200,000/= pungufu tuzungumze private nichek kwa 0627218573 piga sms whatsap namba hiyo mali ipo...
Hello Unahitaji mashine ya kukata nyama kwenye bucha pata kwetu na waranti ya mwaka mmoja
Mashine tunauza kwa 1300000 tu tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda
Namba zetu 0774150519
Instagram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.