Jipatie Smart watch Original leo
1. Smart watch na earpods
- unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th
2. Smart watch mbili na mikanda yake...
Wateja wetu ambao mliweka oda ya incubator za body ngumu [hardboard] za mayai 120,528 hadi 10000 mzigo tayari umefika karibuni mifugo plus mjipatie wahi material ya sasa ni imara na magumu...
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 YENYE SIFA YA KUTOTOLESHA MAYAI YOTE BILA KUBAKISHA HATA MOJA.
#SADAKALAWE
●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30
■Inageuza mayai...
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 .
#SADAKALAWE
●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30
■Inageuza mayai yenyewe.
■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
■Inakuja na...
Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana
Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu.
Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000.
Mawasiliano 0784 829565
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original.
Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote
Saa haiingii maji hata uzame nayo...
Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker - IPX7 Waterproof Extra Bass Sound System sauti na mdundo mtamu
Call 0628 880 380
190,000tsh tu.
Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na...
Wakulima ili kujiongezea kipato chako katika kile unachokizalisha miliki mashine yako ya kusaga na kukoboa. Uweze kupack unga wako hakika utafurahia kile unachokilima na utawakomboa wengi...
Habarini Wakuu.
Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau...
Hello tunauza mashine za kukamua juisi ya miwa
Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe Huna haja ya kusumbuka
Pia Hutumia Umeme kidogo karibu sana
Tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda
0774150519
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
Ni tamu kuchoma...
• Ipo Kibamba Mwisho
• Ukubwa wa eneo ni ekari 4
• Ina hati miliki
• Imesajiliwa
• Inauzwa TZS bilioni 1.2
.
✓ darasa 1-7
✓ inatoa huduma
✓ ni ya kutwa
✓ ina maabara na jengo la ofisi
✓ ina...
Misumeno na yenye ala inauzwa.
Ni mikali na imara sana.
Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi.
Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi.
Wahi ofa hii katika bei ya shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.