Eneo liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. ya simbani . Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.
Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake...
NYUMBA INAUZWA
Milioni 45 tu(45,000,000/-)
Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road.
ENEO UKUBWA 20*25
VYUMBA VITATU
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA NDANI
Nyumba ni nzuri...
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Km 1 kutoka ferry. Unaweza kufanya ukarabati ikatumika kwa kupangisha au hostel.
Vyuo kadhaa vipo jirani.
Bei : 35 M
0746 474849
Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne.
Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende...
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu!
Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika...
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki 0692547049 au 0768628314
Ina vyumba vya kulala 4
Master 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo...
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki no 0692547049 au 0768628314 & whatsapp
Ina vyumba vya kulala 4
Master 1
Chumba cha kulala watoto wa kiume 1
Chumba cha kulala...
Asalamu alykum ndugu zangu.
Nyumba inauzwa, Ina vyumba Saba(7) vya kulala na vyoo sita, Ina uwanja mkubwa na mabanda kwa ajili ya kufugia kuku yapo.
Bei ni milioni mia na hamsini,(150000000) ila...
Vyumba vitatu, kimoja masta
Limezungushiwa uzio wa matofali
Eneo ni kubwa
Umeme mlangoni
Liko kwenye barabara ya mtaa
Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara
Lipo Mkuranga
Kwa maelezo...
Ina ghorofa na nyumba ndogo nne chini.frame mbili za biashara nje.
ipo pembeni ya barabara kabisa.
Umiliki Hati
Inafaa kwa uwekezaji wa ofisi pia.
Nyumba ipo kinondoni mahakama..
Bei 450 millions...
Nyumba ipo mbweni Jkt, vyumba 4 vyote self, na pia kuna nyumba ndogo kwa ajili ya wafanyakazi nk
Nyumba bado ni mpya kabisa na ukinunua unakabidhiwa ikiwa imekamilika kila kitu
Uwanja una ukubwa...
Nyumba ipo Mbagala kwa Mbiku, ina frem 2 kwa mbele, vyumba 3 vya kulala, sebule, dining, jiko. Nyumba ya pembeni(Wavulana) vyumba 2. Bei ni 25m tu. Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280.
Ipo Kibaha picha ya ndege Master bedroom 1
Vyumba vya kulala vi4
Jiko na store
Public toilet
Parking
Kiwanja ni 515square metres
Mashimo mawili ya choo
Kina HATI
Bei ni 23mil maongezi yapo
Kwa...
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.