Nimeuza gari mnunuzi hajafika bei nzuri na gari kaipenda ikabidi tuvue rims tufidie palipopungua
Nataka 1,000,000/= Rim na Tyre zake zote 4
Size 24
Sports Rims
+255788282409
Kinondoni
GOLDEN HOUR TSH.70,000.
Digital and analog, water resistant, mikanda yake ni stainless steel, warranty ni mwaka 1, Free delivery in Daresalaam na mikoani tunatuma kwa gharama nafuu Sana.kwa...
Habari Wana JF,
Wahi ofa yako Sasa uendeshe gari yako this 2020 specifications NI Kama zifuatazo
Subaru Impreza (DRV)
Year 2010
Cc 1490
Push to start
Clean seats
Sports rims with new tires
Full...
Habari wanazengo,
Ninauza machine ya ice cream ikiwa bado mpya (haijatumika sana ni miez 2), inauwezo wa kuzalisha ice cream elfu 6 kwa siku.
Utapata mould zake 2 na ukihitaji maji yake ya...
Aminia games tunakuletea PS2 COMPLETE INAUZWA 160K
Ipo katika hali nzuri
imechipiwa
Ina memory card ya kuboot na kusave
ina flash disk 8gb na games 4 unazopenda
Ina pad mojaina cables zote,(waya...
- Umbali ni 5 km kutoka kituoni barabarani ya lami (Taliano bus stand)
-Eneo ni Tambarale
-Jumla ya Ukubwa wa Eneo ni Heka 4 ndani yake kuna viwanja vitano ambavyo vimepimwa vyenye ukubwa wa 3300...
Nauza seat covers za viti vya harusi kwa TSH 10,000 kila moja na Sashes za viti kwa TSH 8,000 kila moja (used).
Seat covers zipo sampuli nne za rangi nyekundu, pink, cream na brown (chocolate)...
Baiskeli elfu 70 tu usafiri wa mjini huu
Godoro elfu 55 tu lina foronya lake 4*6
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu
Jidakie haraka sana hizi sofa
Feni elfu 32 tu
TV chogo inchi 24 laki...
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu
Godoro zipo tatu
Moja -85000
La pili -65000
La tatu -55000
Baiskeli -85000
Vitu used bei kitongaaaa ni najidakia store piga simu 0762612213
Tvs king namba B ya 2017
Ipo katika hali nzuri, tatizo imekosa matunzo, haijawahi kufunguliwa injini wala kupelekwa bodi.
Inafanya safari Ubungo Riverside> Mwenge
Unafika unawasha na kuondoka...
Najidakia store Mbezi ofisi Beach tunauza
Sofa zipo tatu
Mbili mpya kabisa laki moja na 80 tu
Na moja used laki moja na nusu tu
Baiskeli elfu 80 tu
Godoro 4*6 elfu 60 tu
Vipo mbezi beach piga...
Sofaaa zinauzwaa kila moja laki moja na 75 tu ni mpya
Na moja ni used laki moja na nusu tu piga 0762612213 Mbezi Beach
Used ni hili jeusi
Baiskeli elfu 75 tu
Mzigo Umewasili kwa bei nafuu kabisa.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi au tembelea ofisi zetu zilizoko Mwenge Tower opposite Mlimani City Mall. 40ft 3axles flatbed trailer 50tons...
Kibanda ni cha kisasa, kina taa nne ndani na mbili nnje, kina feni ya juu, socket, switch
kinapatikana Dar es salaam kigamboni ukitaka
kuja kuja kukiona unakuja kukiona..
mawasiliano 0715584281
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.