SOLD
Dell Wide Screen Monitor.
Model: e1914Hef LCD Monitor
Size: 19 Inches
Resolution: HD 1366×768
VGA Port na Power Port
Price: 45,000
Location: Dar
Contacts: SOLD
Bila VGA Cable na...
Jenereta kubwa aina ya Perkins KVA 27 linauzwa,lipo mikocheni B bima road,limefanya kazi masaa 2746. Kwa sasa linatumika kuendeshea container za cold room, lipo katika hali nzuri, engine...
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara Ni...
Mi TV Box S inauzwa. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi...
Tunauza Grandstream gxp2140 IP Phone mpya kabisa kama zinvyoonekana kwenye picha kwa sh 100000 pamoja na 24 ports patch panel za brand ya Begin kwa sh 50000 tu. Tunapatikana Karume, Dar es salaam...
Habari Zenu Wanajamii Forum
Ningependa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Unaoendelea Mjini DODOMA Wa Nyumba Office Nk..
AIDF Inawapa Fursa Ya Kuwaunganisha Na Mafundi Wazuri Wakueka...
Wakuu zipo hizi Radio za LG BRAND NEW
Zina
HDMI
BLUEHOOTH
USB
DvD
FmRadio
Zina Mziki muzuri sana usio kera kwa getho au sebule yako.
Nakuoa warranty ya mwaka mmoja
Bei ni 300,000
Kwa Dar es...
Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu.
Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara.
Zipo za aina mbili Inayotumia...
Habari wadau
Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty
Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt
Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu...
Kifahamu king'amuzi cha DStv Explora, Gharama zake na kinavyofanya kazi.
DStv Explora ni nini?
Hii ni jamii nyingine ya king'amuzi cha DStv chenye uwezo wa kufanya yafuatayo.
1. Kurekodi kipindi...
Sifa zake.
Ni mashine imara.
Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine.
Inaweza kubebeka.
Inapatikana Arusha,Tanzania.
Bei ni shillingi...
Habari mwana jf; karibu ujipatie subwoofer aina ya boss kuna ya spika 3 pia kuna spika 5 zote ni mpya na zina warrant ya mwaka 1 zote izo zina uzwa bei poa na utaletewa kwa laki 195,000 kila moja...
Habari Nina sofa naziuza LA MTU 1, 2 ,3 nauza zote kwa laki 600,000 maongezi yapo njoo na usafiri wako ubebe nipo viwege dar es salaam, ili kufika viwege kwa mtu yoyote yule anae tokea kokote kule...
Cover waterproof za simu
[emoji93] Haziingizi maji na unaweza kutumia simu ukiwa kwenye mvua au unaogelea.
[emoji93]Zinafaa kwa smartphone za aina zote.
[emoji93]Bei 8000sh kwa piece moja...
habari waheshimiwa;
kwanza nimshukuru mungu kwa kuzinduka tena maana ilikua siku ya tar 12 game la simba na yanga nilipata ajali daraja la kigamboni na kuvunjika mguu wa kushoto na kulazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.