Habari za wakati;
Kwa wale ambao wana hanangaika sana kuhusu aina ya Biashara kiwango cha mtaji na usimamizi wa biashara zao tunawapatia huduma ya ama kuwaandalia a custom business plan au ready...
Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260.
imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana
Bei ni mil 1.5
Iko Dar
njoo 0763969066
ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga...
nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India.
unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control...
Blender ndogo za kuchaji
[emoji117] Ujazo robo lita
[emoji117] Inakaa na chaji muda mrefu
[emoji117] Inasaga matunda pekee
[emoji117] Haisagi vitu vigumu
[emoji117] Rahisi kutumia
[emoji117]...
NAUZA PIKI PIKI LOCATION MWANZA, MAGU
AINA MAHINDRA
COLOUR BLACK
MODEL AROW
CC 110
MWAKA WA KUTENGENEZWA 2015
IMETENGENEZEWA INDIA
TRANSMITION 4 GEAR
CONDITION , GOOD US NEW
INA KM 58,000
DOCUMENT...
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3.
Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila...
Call/WhatsApp 0788622610
Brand New popsicle machine
Ina tray 2 (40 popsicles each)
Inazalisha pisi 80 kwa dk20
Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku
Bei:3,300,000 only
Ukinunua...
Wakuu habari za saa hizi.
Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri.
Bei yake ni sh 160000 Tsh za...
Mara ngapi unanunua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao na havidumu muda mrefu,wazazi mnajua jinsi gani inakera kununua kiatu kila mara. Mvalishe mwanao hivi viatu usahau kununua viatu kila mara...
Jipatie viatu vya ngozi kwa bei nafuu ya 70,000..usisahau ununuapo unapata pair ya socks na shoe polish kwa ajili ya viatu vya ngozi..kwa dar it's free delivery...
mikoa mingine tunatuma kwa...
Kwa mawakala na wadau wanaohesabu noti nyingi, Rahisisha kazi zako kwa kutumia Machine ya Kuhesabu na Kutambua Note Fake (Money Counter Machines). Machine zipo za Kutosha na Zina Warranty ya Mwaka...
Ofa ofa ofa
T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure,
Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900
. 11-30 bei ni Tsh 6600
. 31 + bei ni Tsh 6400
Mkoani tunatuma...
Ni nzima kabisa inapiga kazi fresh kbsa
Huduma ya kukufungia ni bure kwa atakaehitaji
Nipo Dodoma mjini ila popote ulipo naweza kukufikia
Location: Dodoma
Bei : 3 Millions
Phone number: 0625803444
Aina -Ni Mi_Sey
Ina ujazo -wa Lita 100
Ni used - kwa miezi isiyopungua 5
Ila bado nzima kabisa na inafanya kazi fresh tu .
Bei : laki 5 na 70
Nipo Dodoma mjini
Kwa atakae hitaji
Simu : 0525803444
Machine mpya ya kisasa ya kukatia nyama samaki na mifupa
Ina uwezo mkubwa wa kufanya kazi
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ni imara na ina warranty Ina motor yenye nguvu
Bei 1,350,000 tu Free delivery...
Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I
tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.