Heat press machine
Bado mpya kabisa
Kazi zake, kuprint t-shirt,handkerchef vikombe, kofia, jersey (jezi),sahan nk.
Bei 1m
0714030003/0735040004
Maelewano kidogo
Itakurudishia hela sana kipindi...
Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki...
Bado nzima; ina portions mbili ya chini na juu.
Juu kwa ajili ya kupooza
Chini ya kugandisha
Ina ICE BOX kwa ajili ya kutengeneza barafu la nje.
Ni Imara. [emoji91][emoji91][emoji91]
Bei...
Habari ndugu zangu.
Nauza friji ndogo... bei ni sh 170000.
Inapatikana Kimara..ukihitaji waweza piga simu no 0692669235
Sent using Jamii Forums mobile app
Clean the courtyard
Cleaning private cars,wash trucks,wash the farm, washing factory, car washing machinebei ml.4.50000 hiyo ya blue
Nyeusi m.7 na nusu
Na hii kubwa ml.11 shipping company FedEx...
PUNGUZO KWA ASILIMIA 50%
EARPHONE OG KWA 5000 DELIVERY IPO
Earphone Original za Samsung
Mnaojua hizo earphone mtakua mashahidi moto wake ni wa kuotea mbali sisi tunazo og kabisa
- Zinakubali kwa...
[emoji817][emoji95][emoji817][emoji95][emoji817] [emoji736]STAR-X LED TV [emoji736]INCH 32 [emoji736]BEI 350,000tsh [emoji736]FREE DELIVERY [emoji598] KWA DAR NA MIKOANI TUNATUMA [emoji736]TUPO...
Kitanda cha chuma Futi 4 kwa 6 pamoja na godoro lake vinauzwa .
Bei Shiling laki tatu 300,000/=
Mawasiliano: 0623 325 015
Location: Kimara Baruti, Dar es Salaam
Karibuni
Habari
Naiuza hi power mixer ya Yamaha g4 in njia nne yaan maiki nne kwa wakati mmja ina power ya kutosha inachukua speaker kubwa kuanzia watt 300 ..kwa wazee wa kurekod ipo fit hata wazee wa...
Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000)...
Nauza pikipiki yangu aina ya TVS Star HLX 125 (engine capacity 125), made in India , imetengenezwa 2017. Pikipiki iko kwenye hali nzuri, haijawahi kufunguliwa engine na naitumia kwa matumizi...
Aina ya tyre tulizonazo
Name Size Pattern Price
Steer/Trailer. 385//65R22.5. 396. 545,000/=
Diff/Drive. 315/80R22.5. 700. 475,000/=
All Position. 315/80R22.5. 300. 450,000/=
7.50-Diff/Drive...
Ushauri:
unahitaji mashine hizi hapa Tanzania najidakia Store tupo kwa ajili yako
Wengi wanatapeliwa au kupewa mashine ambayo hakuichagua sababu kuu hawauziwi dukani au ofisini hana sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.