Habarini wakuuu
Kitanda kinaunzwa cha chuma 5 kwa 6 kipya kabisa kwa 200k MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM
MEZA nzuri ya kujisomea hasa kwa wanachuo kwa 50k ina droo mbili za kutunzia vitu muhimu na...
Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa
➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme,
➡ Bei ni 2.3 ml
📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi
.
Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=
Sifa za saa
1: Haipauki.
2: Hairuhusu kuingia kwa maji.
3: Inadumu muda mrefu.
4: Automatic mechanism, kwa maana ya kwamba haitumii betri.
5...
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"
(*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *)
(1) Tunao...
Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima.
Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control...
Habari wana JF
Ninayo mashine ya kuchomelea vyuma (Welding mashine) naiuza 150,000/=.
Nipo Mtoni kwa Azizi Ali, na mashime ipo Mbezi ya Tegeta Dar es salaam.
Nipigie 0719 785 546
Sent from...
Vitu hapo juu vinauzwa na mimi nipo Dar Mwananyamala ambaye atahitaji kimojawapo kati ya hivyo anicheck kwa namba 0621691806.
Feni 35k
Godoro 90k
Meza 40k,
Mtungi 20k
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana...
Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.