Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari mafundi computer Jamani Nina sh 40,000 nahitaji CPU ya desktop computer kampuni yoyote. Iwe unafanya kazi. Ni PM picha zake Shwari wazee
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta. 1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO 2.kufanya application za vyuo...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
✍🏾Gari Ipo Ofisini, 🔸#Honda Crossroad 🔸Year 2007 🔸CC 1990 🔸Km 57,000 🔸Gray Color 🔸4 Wheel Drive 🔸Seating Capacity 7 🔹Cool Music inside 🔹Back Camera 🔹Navigation system 🔹Steering Switch 🔹Rims sport...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Habari zenu. Kinanda aina ya Yamaha PSR F52 kinauzwa sh 280,000 ambacho kimetumika miezi 2=tu ni kama Bado kipya. Alikuwa anatumia mume wangu kujifunzia kupiga kinanda. Sasa hivi amenunua chenye...
2 Reactions
11 Replies
483 Views
Jenga na Mabati bora na Imara kwa bei nzuri kutoka Kampuni ya DRAGON. Kiwanda kinachoongoza Tanzania kwa Ubora wenye uhakika kwa zaidi ya miaka kumi (10) sasa Sokoni. Utapatiwa WARANTII ya miaka...
1 Reactions
37 Replies
30K Views
• Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal) • Condition: Good • Plot Size: 5mx50m • Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano) • Price: TZS 1.5 billion . ✓ maduka yako 17 na mabanda ya...
1 Reactions
10 Replies
484 Views
Natafuta sarafu za zamani zenye tundu katikati kuanzia mwaka 1918 kurudi nyuma. Aliye nazo anaweza kunitumia picha Whatsapp 0768734611 kwa maelewano. Pia napatikana kwa 0786817145
2 Reactions
79 Replies
25K Views
Habari za Leo Wakuu? Nimepita sehemu moja wakanimbia kuna baadhi ya coins hasa za Ujerumani ukiwanazo basi unauza bei ya maana, mamilioni ya shilingi za Kitanzania. Naomba kuuliza kuhusu hela zetu...
1 Reactions
15 Replies
33K Views
Habari wakuu nahusika na uchoraji ramani, kwa mahitaji ya ramani mbalimbali za majengo nitafute whatsapp 0765898884 Gharama zetu ni nafuu.
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana. Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa. Piga/sms/Whatsapp 0752042670...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
1 Reactions
2 Replies
268 Views
Naomba kupata muongozo namna ya kupata kontena la futi 20 au hata zaidi ya hapo kama itawezekana. Bei iwe nafuu kidogo mana budget imenibana. Naomba anayeuza tuwasiliane au anayejua mahal naweza...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Hello Unahitaji mashine ya kukata nyama kwenye bucha pata kwetu na waranti ya mwaka mmoja Mashine tunauza kwa 1300000 tu tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda Namba zetu 0774150519 Instagram...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
1 Reactions
6 Replies
390 Views
Km: 142,600km Engine: Cc600 Mwaka: 2002 Rangi: Silver No faults Price: 8,000,000
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Bryte Sky Links is a well-established and trusted business that prides itself on providing a wide range of essential services to meet the diverse needs of our valued clients. With a commitment to...
1 Reactions
3 Replies
499 Views
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja...
1 Reactions
3 Replies
317 Views
Habari zenu , nauza shamba heka moja , shilingi milioni mbili na nusu 2.5 million haipungui hata mia , shamba lipo mkoa wa pwani wilaya kisarawe , kijiji cha mloo kata ya kibuta ,mbele ya homboza...
0 Reactions
6 Replies
578 Views
KARIBU FSF LOGISTICS COMPANY LTD Kwa wafanya biashara na taasisi mbali mbali FSF LOGISTICS imesikia kilimo chenu Cha muda mrefu kilicho sababishwa na kuwatumia madalali katika kusafirisha mizigo...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…