Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Heshima mbele wakuu wa jamvi. Leo nimepigiwa simu na sekretarieti ya ajira kutakuwa na interview muhimbili. Tafadhali nilikuwa sehemu mbaya kidogo kwa hiyo umakini haukuwepo na binti alikuwa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama huko uliko website ya secretariat inafunguka nisaidie kunitumia file jipya linaloita watu kwenye interview tareh 5 na 6 November 2012, pia lile linaloita watu kazini kwa usaili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman leo tumetoka kufanya usahil post ya afisa mtendaj kata daraja la pil tulikuwa watu kama 90 maswal tulioulizwa ni yale walioulizwa wenzetu wa dsm cha kushangaza wamechukuwa watu watano tu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
kuna watu wamewekwa hapa wanaitetea sekeretariat ya ajira kwa udi na uvumba. Hiv kwel nafasi zilizotangazwa tokea mwez may mpaka leo kimya wanaita tu watendaji wa vijiji, tuwaelewe vp? Mtihani na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Elimu yangu ni ya kid.cha 6,"PCB".Nina ujuzi wa computer kidogo kutumia program kama Ms-word,Ms-Excel na Internet and E-mai.Kazi yoyote ambayo naweza nikamechi nayo kulingana na elimu yangu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau mwenye update za nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF) atujuze basi.deadline ilikua 17th August, 2012 16:00hrs
0 Reactions
5 Replies
6K Views
nahitaji mfanyakazi wa ndani kwa aliyetayari, na kuishi kwa mwajiri, wapo watoto wawili na mama mmoja tu mshahara shs 50,000/= kama yupo tayari anipigie 0714 064767
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Job Title: Program Officer cum Office Manager Location: Dar Es Salaam Start date: Immediately (ASAP) Reporting to: Secretary General About TPN: Tanzania Professionals Network (TPN) is a...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
​Wana Jr. please mwenye update za EGPAF tujuzane pls! thanks
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A new luxury lodge is looking for suitable Tanzanian to fill the position of *Front of House supervisor*. Candidates applying for the above position should have the following qualities...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye update zozote za hawa jamaa wa pepsi kama wameshaita watu kwa ajili ya interview katika kazi walizotangaza, tujuzane please
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna dogo Langu lilimaliza Mwaka Jana Form 4,Nafikiria Kulitupa Huko! Mnaiona Iko Vipi Hii Wakuu?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
GIS Specialist at World Vision Monitoring and Evaluation Officer at International Rescue Committee,Tanzania China-Africa Trade & Investment Coordinator at World Wide Fund For Nature in Dar...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
SANCTUARY SPA THERAPIST Candidates applying for the position of Kusini Massage Therapist should possess the following qualities: - Qualification in massage therapy beneficial but not...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
wanajamii wa TZ, tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa na tabaka la wenye nacho na wasionacho linazidi kuwa kubwa, hii inatokana na ukweli usiojificha kwamba waliotokea kwenye familia za viongozi au...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS jaribu kupitia hapa unaweza kubahatisha jina lako
0 Reactions
1 Replies
3K Views
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.
0 Reactions
50 Replies
6K Views
nakumbuka walitangaza nafasi 34 kwenye post flani, walio fanya mtiani na kuwa selected ni 14?hawa jamaa wazima?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka wa fedha 2012/2013 Serikali imeshindwa kutoa vibali vya ajira kwa wakati kama ilivyokuwa ikifanya miaka yote kutoa vibali vya ajira kwa watumishi wa kada ya afya mwanzoni mwa mwezi wa kumi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kindly have a look The Foundation for Civil Society | Tanzania
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…