nisaidien kunielekeza ofisi za solar aid zilipo,nimeambiwa ni msasan peninsula,je unashukia kituo gani kama ukiwa unatoka mwenge!
na pia ofsi za gazeti la uhuru ziko sehemu gani!
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie...
SEKRETARIAT YA AJIRA;
Ndugu zangu napata shaka sana utendaji wa namna wa sekretariat ya ajira. Kuna wadau wameenda kufanya usaili nua kukutana na vikwazo vingi ambavyo vinatoa mashaka ya...
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka...
POPO media (wamiliki wa POPO.co.tz - The place to rent anything!) wanatafuta mawakala kutoka mikoa/ wilaya zote za Tanzania. Mawakala hawa wanatakiwa kuwa ni:
- Vijana waliomaliza elimu ya...
We are marketing company experienced and a leading provider of web-related solutions to market businesses. We have offices in both Lulea, Sweden and Arusha, Tanzania. If you are interested in...
Ladies Trekking Virtual Club is looking for the representative in Tanzania.
She should currently not be employed in tourism sector but it is an advantage to have that experience. It is an...
habari wadau, hawa jamaa wanaitwa Data Aid walitangaza kazi za research assistant mikoa kibao hivi karibuni tukawa tumeomba.. sasa wakatutumia sms wakisema tumeshapata nafasi ila tutume 10,000 kwa...
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality
hybrid seeds. The company is based in Tengeru, Arusha, Tanzania. It has 5
hectares of greenhouses and employs over 180...
Elimu yangu ni ya kid.cha 6,"PCB".Nina ujuzi wa computer kidogo kutumia program kama Ms-word,Ms-Excel na Internet and E-mai.Kazi yoyote ambayo naweza nikamechi nayo kulingana na elimu yangu na...
Serikali inatarajia kutoa kauli ya kuruhusu fao la kujitoa kwa wafanyakazi kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika kikao cha bunge kinachotarajia kuanza leo jumanne mjini Dodoma. hali hii...
mimi ni kijana nliyemaliza certificate in law mwaka 2010 lakn bdo sijabahatika kupata kazi,nipo tayari kufanya kazi popote..ninawaomba wenye mawazo wanishauri hata
pia wenye kuweza kunisaidia...
Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali...
Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar...
ndugu wana jf nadhan kwa wanaofuatilia kwa karibu nafasi za kaz znazo tangazwa na chombo hiki cha utumish wa ajira ni mashahidi kwa jinsi ajira hiz znzvyo chelewa yaani mchakato mzma hadi kuita...
Heshima Mbele Great Thinkers!!!
naomba kujua kama;
1.IST
2.HABARI NODE
3.POSTAL BANK
4.FHI360
5.TANESCO SACCOS
WAMESHAITA watu hata kwenye interview.
asante.