Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Rafiki yangu ni mwl wa leseni, anakatwa pensheni, ila hana diploma wala cheti cha ualimu, lakini amejiendeleza na kupata advanced diploma ya accountancy, sasa ameomba abadilishiwe kazi na muajiri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakubwa ivi hizi nafasi toka tume ya uajiri serikali wanataka hadi uwe na cheti?mi nina provisional vipi sistahili?
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza muziki kwa kutumia program za Computer ili nimuunganishe nma mtu ambae ni mtaalamu kias lakini ana vifaa ambavyo vitawawezesha kufungua studio ndogo kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Interdisciplinary environmental research in Africa Position station manager Position technician In the framework of the research unit �Kilimanjaro ecosystems under global change: Linking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu! Mim ni kijana 22, elim yang ni kidato cha 4, naishi Dar. Nna ujuzi mzuri wa kompyuta (basic computer application). Pia nna ujuzi mzuri wa Graphics Design kwa kutumia Adobe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natamani ningekuwa mtoto wa kigogo na degree yangu niliyonayo leo hii ningekuwa mfanyakazi pale hazina, BOT or TRA lakini leo hii naambiwa nikajiajiri mtaji sijui napata wapi...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Are you water engineer?you posses at least Msc and 3yrs working experience? Contact me +255 7127 66066. USIBIP TAFADHALI.
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Tar 25-5 walitangaza nafasi mbalimbali, zikiwemo maafisa tawala, assistant lecturers usitawi na nyingine nyingi. Ila mpaka leo wanaitwa kwenye interview ni watendaji wa vijiji, kata na wapishi...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Haya wakuu, hivi ndivyo niwazavyo mimi, dont qoute me wrong! Fursa za kujiajiri zinatokana na gap la ufahamu/ujuzi kati yako na watu wengine katika jamii/taifa. Pia kila mtu kwa wakati fulani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta kijiwe cha kufanya kazi na watu Kama independent consultant; resource mobilisation, fundraising, proposal writing etc.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wahusika wa hii mambo wapitie pande za tangazo hili MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari wana JF,hawa jamaa walitangazaga nafac za kazi za internal auditor,procurement na wholesale market clerk,vp washaita watu kwa ajiri ya interview?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi nimsichana wa miaka 27, nilisoma advance diploma in computer science, nilimaliza 2009 lakini tokea nimemaliza hadi sasa sijapata kazi nimepeleka maombi sehemu mbalimbali bila mafanikio wana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
In case you are in need for a part time accountant, here i am. I am employed already and would like to utilize my full capacity. I am a DBA,an ADA,PGDBA-Finance holder, with 4yrs of experience in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A reputable beverage industry in Arusha is looking for machine operators for filling lines. Candidate should have minimum experiance of 2 years on beverage filling line machines. Send your C.V to...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili; yupo anapatika kwa ku-MP jamiiforums, wasifu wake 1.BA with EDUCATION(2009)UDSM 2.Masomo aliyosoma -kiswahil na HISTORY...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hhhjjjnbbghhj hjjjjnbgffgghhjbvf hhgghhjgff G hhccghhjjh
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba nsaidiwe ktk hili,binafsi yng halijawah kunikuta since nianze kuomba kazi na kufanya baadhi ya tempo jobs..ni hivi: Recently kuna kazi ya research assistant ktk NGO moja hapa dsm which is...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie, mtu yeyote anayeifahamu hii kampuni ya hugo domingo naomba mnisaidie kunijuza kuhusu hii kampuni haswa kuhusu mishahara yao iko vipi?? Kuhusu security ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…