Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nina elimu ya Diploma. natafuta kazi ya secretarial, NINAOMBA USHILIKIANO WENU ASANTE.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana Jf Nimekuwa nikiambiwa kuwa wenzetu wa Nchi zilizoendelea mtu anaweza kufanya kazi part time online (with simple condition kuwa, awe na reliable source of internet) Mimi nimesoma masomo ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mmmh nimemsikiliza diwani wa kata ya kwadelo(kondoa) ITV leo kipindi cha kumekucha kwa kweli Hongera sana kijana,yeye kaamua kuhamasisha vijana wenzake walioko mjini wajiajiri katika sekta ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
niinbox namba yako tuweze kuzungumzia hili kwa aliye tayari, awe serious na kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elimu yangu ni ya kid.cha 4 ila nina uzoefu ucopungua miaka 5.Naish DAR.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, natafta kazi ya kununua inayoendana na qualification zangu, nimesoma BAEd, nnko inservice kwa miak 9 , lakini kutokana na mazingira kandamizi sana ktk kazi naamua kutafta...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Vijana wanaoweza kuprogramme waliomaliza vyuo waache mawasiliano yao kwenye PM yangu. Lakini wawe wale wanaotaka kufanyakazi Ku-Learn not tu-Earn
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF hivi NHIF walishaita wa2 waliofaulu kufanya oral interview au ndo 2andike 2meumia 2liofanya ile intrvw pale balaza la maaskofu???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamii hivi kwa wale ambao waliomba mmrp kuna ambao wameshaitwa kwa interview??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Inasikitisha sana hapa JF kwenye safu ya ajira, ikionekana tu kazi hiyo ni ya kutafuta masoko na kuzunguka na bidhaa mtaani(FREELANCE), Utasikia watu wanaanza kuleta dharau na kuisemea mabaya kazi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wazima,mm ni muhitimu wa shahada mwaka 2012 napenda sana kujiunga na jeshi napenda kutoka moyoni na nipo tayari kupitia jkt ila umri wangu kwa sasa ni miaka 25 je mwakani watanikubalia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada wako.nimeingia www.zoomtanzania.com nimeona nafasi ya kaz ya data clerk sasa nataka mawasiliano na jina la kampuni husika.kwani nikiingia inaniambia sim yangu ainauwezo. 071293901...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Are you looking for a job? want to change career? dont hide your CV in drawers. You can register and display it at muejobs.com Let your skills and job experiences get known to employers You...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana ndugu naombeni kwa yeyote alie na shule, Chuo, kampuni au Biashara aniajili. Nna Bsc EDUCATION (BIOLOGY&GEOGRAPHY). Nmemaliza mwaka huu (2012)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzoefu hasa ktk kazi za lami ni added advantage. Uzoefu wa kazi atleast miaka miwili. Tembelea www.casco.co.tz/employment
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Back ground The Wildlife Conservation Society of Tanzania (WCST) is a national Non-governmental (NGO), non-profit making and membership based civil society organization. Established in 1987...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Makamanda vp kuhusu majina ya graduates kwenda ccp moshi
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wana JF, Nimeitwa kny usaili na hawa jamaa wa Access Bank Mwanza niliomba tu kama Bank officer, nimesikia tetesi kwamba hawa jamaa hamna kitu kabisa kwenye ulipaji. Ntashukuru kama ntapata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wanajf wale waliopenyeza lupia kwenye oral ya compliance officer.smu ishapigwa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu, mimi nina BA Econ. na namalizia Masters ya CED (community economic development)hufanya shughuli zangu binafsi kama Independent Development Consultant-Resource Mobilisation, management and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…