Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Walioomba ajira za utumishi mei 28,washaitwa kimyakimya!nchi inaelekea kuzimu hii,mi nliomba asst accountnc ndo hvyo bana
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi. NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Dah hivi TPDC wameshaita watu kwenye interview kwa zile nafasi walizotoa mwezi wa tano.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani kuna kazi hiyo kama kuna mtu mwenye sifa ajaribu bahati yake hapo. The address of HR is: zally@pedaids.org The closing date is 30th August, 2012
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ukiambiwa kesho unatakiwa ufike ofisini saa 3:00 asubuhi, huwa hutokewi na ile hali ya fever fever fulani hivi? yaani huu ndo ugonjwa wangu hasa ikitokea kwa ofisi mpya kabisa maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye taarifa atujuze, vijana tupo tayari kuvaa gwanda! Ni tarehe ngapi vile?
2 Reactions
46 Replies
11K Views
habari zenu wana JF naombeni msaada kwa mnaojua kuhusu hili. ninamtaji wa laki saba nataka kufungua biashara ya gems kwa watoto huku arusha nimeona niombe msaada wa mawazo hum kwanza kwa wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:yawn::yawn::yawn::yawn: PGSS 10 NI SH NGAP WADAU......................................MSAADA PLIZ NAOMBA KUJUA WAKUU
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hellow wanajamii hw is evrythng there?nimesoma environmental science mkiona tangazo tupieni2
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau, kuna kazi ya kuwa stores officer nime-apply, je risk zake ni zipi?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu anahitajika engineer kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba(STOREYED BUILDING)ukonga Dar. Awe na uzoefu wa kutosha,CV ni muhimu. Aweze kuchora ramani nzuri kwa ajiri ya luxuriously house. Awe na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama wewe ni mtaalam mtajwa hapo juu, na unanafasi wikend hii ya tar 25. Naomba tuwasiliane My no. 0657992268
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallo to you all great thinkers, hope cool. Vp kuna mtu an information za kuitwa usaili wa afisa ushirika daraja la pili? Zilikuwa post 45. My self cjaona kama utumishi wameita but kuna mtu mmoja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Urgently Recruiting INTERNAL AUDIT MANAGER FOR WORLD VISION TANZANIA: Qualifications:MBA IN ACCOUNTING WITH CPA(T)/ACCA,4years experience. send CV to orestes_sotta@wvi.org
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Nimepita mitaa ya udsm karibu na yombo 5& 6 watu ni wengi wanaosubiri kufanya interview ni zaid ya watu 1000 post zenyewe sidhani kama zinazidi 5 au 6! Kwa hali ile kweli kazi ipo kwa wasio na ajira/
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna yeyote anayelijua shirika la RTI International Tanzania? Kuna ndugu yangu anataka ku-apply kazi huko. Kama kuna anayejua salary package yao na other benefits naomba anijuze.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nliwahi kuskia kua ajira zile ztakua processed baada ya kuisha bunge.nashangaa hata tetesi tena hakuna.wadau anayejua atupe hints japo kidogo.bench noma jaman.khaaaaa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wale wote mliopata nafasi za kazi katika ukarani wa sensa ya watu na makazi Tanzania 2012 ni jukumu zito sana mlilopewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hivo ni vema mkafanya kazi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JS ONE RECRUITMENT& HR CONSULTANCY LIMITED Make Life easy with S One ! Get employed,Be advised on LabourLaws through S one...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specializes in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…