Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nina bachelor ya business in marketing ya Kenya Methodist university na Msc entrepreneurship ya ESAMI. Niko mtaani tu Wazee. Hii ya sensa wananizingua waalimu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuairusha mpaka j4 tar 14 arafu ghafla kuaarisha mpaka tar 15 siku ya jumatano, Habari kutoka kwa watu wa dodoso refu wanasema wameambiwa wawatangazie watu wa dodoso refu kuwa wawah kesho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu me nashndwa kuwaelewa hawa wa2 wa sensa,watapangaje tar za kuanza semina hafu wanahairisha without any Information ktk ofc za kata na hata maeneo waliyopanga kwa hzo semina.Jambo la m2...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ebana mi naomba mnipe mawazo juu ya ili swala la interview kufanyika kwa lugha ya kigeni(English) Wote tunajua fika Watanzania walio wengi icho kizungu ni cha kubabaisha babaisha na hii ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana jf namba mtu yeyote mwenye ufahamu ni hatua gani au ninawezaje kupata nembo ya tbs kutoka shirika la viwango.nataka kuwa mjasilia mali wa kutengeneza bidhaa za mafuta ya kupikia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mwananchi wametoa shortlist ya walioomba kazi katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 08.08.2012. Ila hawajatoa majina wametoa condition tu za wanaoitwa kama: 1. Muombaji lazima awe na umri...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
trh 14,15,17,23 na 24 mwezi huu wa 8! ni tarehe ambazo kutakuwa na written interview kwa nafasi mbalimbali zilizoombwa nhif. wengini ni wageni jamani na dsm. huko BARAZA LA MAASKOFU ndo mitaa ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni maarufu kwa usambazaji wa vifaa vya elektroniki, CCTV, Setallite dishes, , ZUKU TV, DSTV na mitambo ya mawasiliano, kufunga Cable TV, Security cameras kwenye mahoteli, nyumba za kulaa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani,naombeni ufafanuzi wa tangazo la interview za NHIF la tarehe 8 juzi. Wametoa ratiba na venue za interview bila kutoa shortlist ya majina! SASA MIMI NITAJUAJE NA HUKU ZIMEBAKI SIKU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua. NAWASILISHA WADAU...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi ya MESSENGERS BOT kama lnterview ishafanyika au bado tafadhali atujuze maana ndo sehem ninayoitazamia kwa macho ya matumaini. Nawasilisha.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nina degree ya civil engineering,mwenyekujua jinsi ya kupata kazi kwenye hii agency anijuze
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kazi yeyote as long as Iwe ya IT
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya u house boy nina 28yrs najua kiswahili na kiingereza fasaha elimu yangu kidato cha sita kwa sasa nipo dar. Mshahara maelewano aliye atakayekuwa tayari ntamtumia ac ya email
0 Reactions
29 Replies
4K Views
1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/22 7 Agosti, 2012 KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Duh hii ni kali ya mwaka jamani mwanzoni majina yalitoka vizuri wakufanikiwa wakawa wamefanikiwa semina ilikuwa ianze leo,watu wamekwenda kwenye kituo cha semina wakakuta kuna mabadiliko ya semina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuh wana Jf,kiukweli hizi habari za sensa zimenichosha ila inanibidi tu niulize kutokana na kukosekana kwa ukweli wa mambo kutoka kwa hawa watu waliopewa dhamana ya kusimamia ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hawa jamaa wa brac jamani wajipange sawa sawa. Niliona tangazo humu ndani juzi kuwa wanataka afisa mikopo. Mi ni mmoja wa walio2ma maombi. Baada ya siku kama 4 hv nkapata sms ikinitaharifu kuwa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
mimi ni kijana(wa kama miaka 23 hivi),na kama bahati nimebahatika kupata kazi sehemu flani,wananipa mshahara mkubwa tu,na niliowakuta kwenye department yangu,wengi ni wana umri karibia wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu zangu wameninyima nafasi ya ukarani hapa dodoma mjini, katika pitapita zangu nikaambiwa "waliopita walikuwa na marefa hususani wanachuo walio mtaani bila ajira" mlioko jikoni naomba refa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…