Karibu kila halmashauri zimeshatoa orodha ya majina ya watu watakao shiriki zoezi la kuhesabu watu lakini cha kushangaza wilaya ya Iramba mkoani Singida .hawajatoa majina mpaka sasa hivi kunanini...
kwa wanafunzi ambao ndio wanatoka fresh from vyuo imekuwa ngumu kupata kazi kwa kisingizio eti hawana experience! Je, hao walio maofisini walizaliwa na experience? Au nao walipita shule kama sisi...
CAREER OPPORTUNITIES IN THE BANKING SECTOR
Advans Bank Tanzania, a commercial bank licensed by Bank of Tanzania, offers carriers opportunities to highly skilled and motivated professionals.
The...
jamani ndugu zangu najua kuwa hapa jf tumesheni wataalam ktk nyanja zote.naomba msaada wa kitu kinachoitwa traffic count,hii nafasi ilitangazwa na ilikuwa mahususi kwa wahitimu wa udsm niliomba na...
Jamani mimi nimehitimu chuo kikuu cha Dar Es Salaam clss2011,BA(Hon) In Geography&Environmental Studies.Nimejitahidi kwa JUHUDI ZANGU ZOTE kutafuta kazi japo ya aina yoyote ila sijafanikiwa hadi...
Wanajf ni kama mwezi umepita tangu tufanye usaili katika idara ya uhamiaji na walisema watatangaza majina ya wale waliopita kwenye usaili huo. kama kuna mtu anayefahamu ktk hili jaman anijuze lini...
Samahani lakini:
jaman wana Jf,members na visitors,nimeangaika sana kutafuta ajira hapa Tanzania mpaka basi! Nimetoa photocopy kibao za vyeti na passport size kupeleka kwenye ofisi za watu,lakini...
Wapendwa wanaJF,
Salamu.
Nimeitwa kwenye usaili COASCO wa Assistant Auditor. Ila kwa sasa ninafanya kazi sekta binafsi. Si ifahamu vizuri COASCO. Wakati naomba kazi nilikuwa sina kazi na...
USAILI WA TAASISI YA UDHIBITI WA MBEGU (TOSCI) ULIPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/08/2012 NA 21/08/2012. LAKINI KUTOKANA NA UWEZEKANO WA TAREHE HIZO KUINGILIANA NA SIKUKUU YA IDDI, USAILI HUO...
wakuu naomba kuuliza aliye na taarifa ya majina ya sensa kata hizo ambazo 2lishafanya usail alh 2julishane wakuu isije ika2pita man nilisikia tetesi kuwa watatoa leo.Msaada kwa hilo plz.
Jamani wale tuliomba nhif, je kuna mwenye tetesi interview wanaanza kuita lini? Alafu kwa wale wa jeshini nafasi kwa wenye professional zao tetesi nafasi ni mwezi wa tisa.
BrighterMonday > Job Details > Support, Development & Implementation Resource [Jobs in Kenya, Tanzania & Uganda]
Category: Information Technology & Telecoms
Location: Dar es Salaam...