Samahani kwa usumbufu.Jana nimetupia humu tangazo la Wakala, sasa nasikitika kuwa nadhani sijaeleweka kwa walio wengi maana napata call nikiwa kana kwamba mimi na KAMPUNI yangu mawakala, La hasha...
sisi tuna kampuni ya uuzaji wa vitu vya handcraft na handmade product kwa watalii na tuna maduka ktk maeneo ya utalii huku zanzibar tunahitaji mbia wa kusaidia katika biashara yetu kwani tunataka...
Ckuwah kuimagn kuwa unaweza kunyang'anywa kaz hv hv, nilipata kaz kwny kampun moja ya cm cha ajabu cku ya kuanza training 2kaambiwa 2fanye interview jaman kazi hzi, kumbe walishatuchakachua.
A client is looking for a Project Manager/Coordinator for a an annual contract position, with potential for extension.
Qualities needed:
- Great attention to details and excellent follow...
Kwa mwenye taarifa ya shirika lolote linalolipa mshahara mzuri au kampuni Mimi nina taaluma mbili 1. ni mwalimu kada niliitumikia kwa muda mrefu na naendelea kufundisha shule za msingi. 2. Mimi ni...
We are looking for a freelancer experienced and capable graphic designer to develop very high quality, creative and at affordable prices online marketing collaterals such as e-flayer ,e-brochures...
Habari Wakuu
Am Freelancer Graphics Designer Mkali wa kutosha katika Illustrator, Photoshop & indesign-ADOBE CS anza na Magazine pagelayout, banners, posters, promotional adv au taja mwenyewe...
Hi all,
I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined.
It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
Habari wana JF,
Naomba kujua kuhusu kujiunga na Jeshi la wananchi (JWTZ), kwan ni muda kidogo sikuwepo humu jamvini.
Cha muhimu naomba kujua kama tayari nafasi zilisha tolewa au bado na kama...
Kila nkipeleka nyaraka zangu wakubwa wanapotezea tatizo langu badala yeke wanarise interest kwangu na kunisumbua bila mafanikio jamani hivi mpaka lini wakat wao ndio wameshikilia makali ????Jamani...
Ndugu wana JF napeda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa jitihada za kusaidiana pamoja na kuelimishana kwenye nyanja tofauti. Mimi nina ombi moja hapa, mimi nimemaliza ARDHI UNIVERSITY...
Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara...
Kama wewe ni msichana (umri chini ya 35), umesomea fani hii, na upo tayari kufanya kazi nje ya nchi, Middle East
Tengeneza CV na passport.
Halafu niiandikie message (usipige simu tafadhali) +255...
Dear jf members!
I'm lookng for job,wether its permanent,temporary or volunteer. Bsc.Usimamizi wanyama pori ndo my career.
Natanguliza shukran zngu za dhati kwa kejeli(jokers)zote...
Usaili uliokuwa umekamilika na leo, na form vi Art ndo wanatangulia monduli kuanza mafunzo na waliobaki watatakiwa kwenda Januari mwakani.
Cha kushangaza usaili ulipokuwa ukikaribia mwisho kuna...