wadau habarini...
Wadau kwa wale waliofanya interview ya system administrator pale MUHAS wiki mbili zilizopita, je kuna mtu mwenye taarifa yoyote au alieishaitwa pale kati ya zile post mbili??
Sante
Wadau tusaidie kdogo kwa wenye ufahamu, mshahara wa mwalimu mwenye degree ni 469200 D1, je mwenye Masterz n sh ngap??
Je hata ukfanya kazi wizaran mshahara n tofaut na shulen?
Wana Jf. . .yeyote anayetaka kununua bidhaa nzuri kama vile hardware materials, lights and lighting facilities, cellphones za aina mbalimbali, vyombo vya nyumbani vya aina mbalimbali. Ni Pm
Nategemea kugraduate mwezi wa sita mwishoni, BA EDUCATION, natafuta shule za private DSM, MOROGORO au DODOMA, kufundisha kwa "temporary"au mkataba kulingana na makubaliano. Please, mwenye shule...
Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!
Kwa mara ingine najitokeza hapa naombeni mnisaidie ni wapi naweza pata kazi,nina degree na nimefaulu vizuri tu ila sijafanikiwa kupata kazi.
naomba mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie...
KWA MTU YOYOTE WENYE DEGREE AU DIPLOMA YA UALIMU MASOMO YA PHYSICS AU MATHEMATICS ANIPIGIE SIMU AU ATUME CV YAKE KWA MAWASILIANO YAFUATAYO . MSHAHARA MZURI, SIYO PART TIME NA USIWE HUJAMALIZA...
I was applying for sales job at South Africa, then i was required to fill certain form but i have problem on the following issue;
First Name: so i put my name here
Middle Initial:
Last Name...
wana JF kwa wale walioomba kazi Mzumbe vipi wameishaita watu kwenye interview na kama una taarifa na zile nafasi za TRA zilizotanganzwa hivi karibuni walikuwa wanatafuta trainers wa mambo ya ethics.
Hi wana jf.
Kama wewe ni mwalimu wa wa daraja la 3A.
Kuna nafasi tano wanahitajika saba watana watakao fanya vizuri wataajiriwa.
SIFA:
1.Awe na elimu daraja 3A
2.Anajua kingereza vizuri...
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma...
wakuu,heshima mbele!!!
nimekuta tangazo la kuwaita watu kwenye interview kwa mwezi wa tano(may) ila kilichonisikitisha ni haya masharti ya kwenda kwenye interview:::
Wasailiwa wanashauriwa...
Habari wanajamii!
Nawatafuta watu wenye mitaji ya kuanzia kama milioni 3 hivi tufanye nao biashara.
Biashara yenyewe iko namna hii ni kuzalisha umeme kwa kutumia machine ya kusaga...
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti...