Mara nyingi nimekuwa msomaji wa mambo yanayohusu ajira na kazi,humu watu hutoa mawazo yao na wengine kuomba ushauri nini wafanye ili either wapate kuajiriwa ama kujiajiri kulingana na elimu zao...
kwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi.
wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye...
Please ndugu zangu wa JF, kwa anayefahamu kuhusu interview ambazo PRICE WATER COOPERS walisema watazifanya kuanzia 07 hadi 13 mwezi huu, vipi watu wameshanza kufanya hizo test zao, maana ijumaa...
nimesikia leo tarehe 27 april mtanzania news wametoa shortlist ya walioomba kazi ya hakimu mkazi daraja la pili,kwa aliepata electronic source ya hiyo kitu please naomba aiweke humu tuweze...
Kuna baadhi ya wadau wa JF kwenye jukwaa letu la Kazi na tenda, wanakuwa kama wametumwa na shetani, ukiandika post yako wao kazi yao ni kuandika utumbo na kukatisha watu tamaa.
kwa mfano mtu...
Kwa wale waliohudhuria written Interview Msimbazi Center kwa nafasi za Loan Officer, Cashier na IT kuna yeyote ambaye ameitwa kwa ajili ya oral Interview?
wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite...
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia...
Graduate in Bsc in Property and facilities management from Ardhi University(Former Uclas).4+ years of experience in retail stores management is kindly looking for a related job.Please...
jamani kwa wale tisa tuliofanya interview pale TWB walisema watatujulisha kuhusu succss(going for oral interview) or failure,vipi mshaitwa tena?taarifa tafadhari.
Habari ya leo ndugu zangu wa JF.
Please kwa anaye fahamu salary scale ya NBAA 8/9 ni kiasi gani, naomba anifahamishe. Nina ndugu yangu ameitwa na Utumishi kufanya nao interview.
/////////VACANCY////////
Web Development, Graphics & Social Media
Requirement; motivational letter, CV, portrait picture, reference of past work, salary expectations.
Age ; 18 - 40
Email ...