Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania......
Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika?
Tusaidiane...
Habari wana JamiiForums
Tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, maana mimi na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz...
Find Jobs Vacancies In Nigeria Daily
recruitment-nigeria.com
Jobs Vacancies In Nigeria
Accounting Jobs Vacancies In Nigeria
Banking Jobs Vacancies In Nigeria
Engineering Jobs Vacancies In...
JOB TITLE: COUNTRY MANAGER-UGANDA
REPORTS TO: NATIONAL SALES MANAGER
DUTY STATION: UGANDA
Role Purpose Statement: - To sell Precision Air products and network to achieve the set sales and...
Utamaduni wa kazi na ajira ulianzishwa na wakoloni, miaka hiyo tuliwafanyia kazi bure bila ujira, unapoulizwa uzoefu maana yake kama miaka ya uzoeu ni muhimu mtu mwenye umri wa miaka mia hamsini...
Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
Habari wadau wa Jf!!
Nimetumiwa sms juu ya uwepo wa interview ya Accessbank itakayofanyika Msimbazi Centre Ijumaa saa 1:30 PM je ni kuna mwingine aliyepata ujumbe huu?nataka kuhakiki...
Job Title: System Administrator
Duties and responsibilities
Operate, provide instant support and deal with trouble shooting in the existing systems e.g branch
operations, E-mail, internet...
Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha??
So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
Hivi naomba nijulishwe,usaili kwa walioomba kazi[nikiwemo] katika jeshi la magereza ni lini,na tutajuaje kuwa leo ndo usaili? Maana siku tunapeleka barua za maombi walikuwa wanakusanya tu na...
dah mazee ile nyomi niliyoikuta pale msimbaz centre ktk interview ya access bank ni kiashilio tosha kwamba vijana tumeshikwa pabaya kwa hili sakata la ajira.watu ni zaidi ya miatatu na...
Nimepewa taarifa ya kuwa katika gazeti la habari leo na daily news ya jana tarehe 30.5.2012 kuna nafasi za kazi za maafisa tarafa 145 nchini TANZANIA. Naomba aliyebahatika kupata magazeti hayo...
Poleni na miangaiko yenu wan JF naombeni lakini msaada wenu kidogo ivi niki soma degree ya Public Relations and marketting kweli ntaweza kuchukuliwa kufanya kazi inayousu Marketing naombeni msaada...