Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwa ufisadi huu maisha bora kwa mtanzania yatatoka wapi?kwa ufisadi huu maisha bora kwa mtanzania yatatoka wapi?
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Sikika seeks to recruit District Coordinators for Iramba, Kiteto, and Simanjiro with immediate effect. Responsibilities • Coordinate with partner organizations in the day-to-day delivery of...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Natafuta soko la mafuta ya ubuyu. Nauza mafuta ya ubuyu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanaJF Natafuta kijana wa kufanya kazi ya dukani,jinsia yoyote,awe na umri kati ya miaka 18 na 22 na awe mkazi wa maeneo kati ya kimara hadi kibamba,sio mbali na hapo,mawasiliano niPM.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Click Here for more Info Good luck.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kusaidiwa kujua ni nini maana halisi ya "Reference letter" kama inavyotumiwa sana na watu au makampuni yanayotafuta wafanyakazi, pls hebu shea nami...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Job Title: Accounts Clerk II (8 Posts) Category: Accountancy, Finance & Insurance Location: MWANZA, Tanzania Employment Type: Full-Time Description: Duties and Responsibilities: Preparing of...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wanajamii wezangu nifahamisheni kama mnafahamu kampuni au sehemu ambayo wanayotoa Hizi test, mana waajiri wa nje ya nchi wanazihitaji. Nilikosa ulaji Sudani Kusini but this time I don't want to...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kati ya kufanya kazi serikalin ukalipwa mshahara wa let say 400000 au ufanye katka sekta binafc then ulipwe 700000?naombeni mwongozo wenu,maana ndo nakarbia kumaliza chuo afu kuna dili zinaanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa wanaojiita Presidential Trust Fund au Mfuko wa Rais wa Kujitegemea ni akina nani na wako wapi?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nafasi za kazi za magazetini za leo nenda TAYOA Employment Portal
2 Reactions
3 Replies
11K Views
Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na mifugo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa mmoja aliiba TV, akaibeba na kisha akaanza kukimbia nayo,kumbe kwenye ile nyumba aliyoingia kulikua kuna mgonjwa wa akili, akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza spidi na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kwa waajiri wenye kutafuta watu wa bachelor degree of business administration, nina uzoefu wa book-keeping related functions wa zaidi ya mwaka mmoja pamoja na teaching experience ya masomo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
vipi wadau mmmeitwa kwenye oral intreviw, coz kuna jamaa yangu kanambia wamepigiwa simu waende kesho saa mbuili asubuhi pale maktaba complex
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anatafutwa HEAD OF FINANCE, MWAJIRI NI SIKIKA (NGO) SIFA 1. CPA uwe nayo 2. Uzoefu miaka 3 3. knowledge of accounting packages na taxation system ya nchi yetu 4. marefa wawe 3 5. tuma CV NA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Technicians wenye level ya Diploma au chet cha FTS wanahitajika kwenye moja ya Security Company hapa Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kupitia 0715702886 ama tumia Email...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
waiters-8 receptionist-5 wanahitajika haraka wawe na cv, copy ya rangi pasport kurasa ya kwanza picha pasport size 2 pm kama una vigezo tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Medical Officers-Check Guardian or Daily News ya leo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…