Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Job Title: Field Project Manager ; Cassava Seed Distribution System -Pilot project in Tanzania Mennonite Economic Development Associates Project Description The Cassava Seed Distribution System...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Job Title: PROGRAMME OFFICER, NOD Department/ Office: Economic Commission for Africa Duty Station: KIGALI Job Opening number: 12-PGM-ECA-23173-R-KIGALI (R) United Nations Core Values: Integrity...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,mimi ni graduate mwenye degree.ninatafuta kazi ya customer service. Nina experience ya mwaka mmoja. CV is available upon request. Iam serious on this,for my contacts pm me.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale engineers waliograduate UDSM within last 2 years, waweza kuapply hii visa, kwa sasa Australia inachukua ma injinia kutoka baadhi ya vyuo nje ya Australia...ndani ya Africa vyuo ambavyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu,kwa mwenye taarifa zozote kuhusu hapo atujulishe,walitangaza ajira kwa branch ya Njombe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
(tangazo lipo hai kwa siku 14 toka Aprili 09.2012) VIGEZO NA WAJIBU · UMRI MIAKA 18 NA KUENDELEA · MKARIMU, MCHESHI NA RAFIKI WA WATU WOTE · MWENYE MOYO WA KUJITUMA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Job Title: Packaging Technicians I (17 Vacancies) Group/Division: Packaging Position Location: Qatar Position Summary: Entry level position into the Packaging department. The associate will...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Polen na majukum wadau,hv kwa nn mashirika ya umma na sekta nyingine za serikali hawaweki majina ya walioitwa kwenye interview magazetini?au ni garama kubwa sana? mfano TRA juzi walipiga sm na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fungua attachment kuna tangazo la kazi chuo cha CBE kutoka Utumishi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 19 na nimemaliza masomo yangu ya kidato cha 6 february mwaka huu,kutokana na ugumu wa maisha bila pesa na pia kuepuka vishawishi vinavyo jitokeza mtu anapo kaa bila kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nigraduate wa mechanical engneering 2006 with experience . Naomba wadau watakaoona tangazo lako wanipm tafadhali. Niko dar with my family. Be blessed wadau
0 Reactions
0 Replies
767 Views
MAJINA YANAPATIKANA KWENYE LINK HII Document Details | TANGAZO LA USAILI - MAADILI, RAS KILIMANJARO, PPAA, RUANGWA & NACHINGWEA 18 - 21 APRILI 2012
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I am a nurse professionally,worked for health programs with experience of more than 8 years.Please anyone here who have anything or have some connections which will fit me it will be ma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WADAU NAITAJI HARAKA SANA GRAPHIC DESIGNER MWENYE UZOEFU MKUBWA AWEZE KUNIANDALIA HIGH QUALITY PROMOTIONAL MATERIALS ZA KAMPUNI KWAAJILI YA E-MARKETING CAMPAIGN KAMA E-BROCHURES,E-FLAYERS,E-...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya usekretari jijini Arusha. Nimesoma na sekondary na kumaliza form 4, na nimesoma stage one ya secretarial na computer veta na kufaulu vizuri. Ninauzoefu wa miaka miwili kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fungua hapa: matukio-michuzi
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wana jamii, Kuna tovuti inatoa taarifa kedekede za kazi na ajira bure. Huko tunaweza kujifunza mambo mengi ya manufaa kwetu, kama vile maswala ya viwango vya chini vya mishahara kisheria...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
habar wanajamii! Nimemaliza masomo ya kidato cha 6, natafuta tempo ya kufundisha hesabu mashulen au centers, kidato chochote 1 mpaka 6. Nipo tayar kufundisha hapa mkoani dar au pwani. Au nipen...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…