Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Natafuta kazi inayohusiana na masuala ya mazingira, ecology, tourism and the like. Nina diploma ya usimamizi wa wanyamapori. Mwenye taarifa naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenu wanaJF najitokeza kwenu nikitafuta kazi ya udereva,ninaendesha semi na puling na magari mengi isipokuwa bus,mara ya mwisho nilikuwa naendesha gari ktk kampuni ya HASSAN Transport,ninao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAFASASI ZA AJIRA TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA: SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , &...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani hilo suala ni la kweli kabisa hata mimi nathibitisha na wala sio uzushi. Mimi binafsi kuna jamaa angu mkewe kapata wiki moja iliyopita kimyakimya....nilipata taarifa kwa mume wewe na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wenzangu, mim ni Graduate, nina bachelor ya computer science (BCS)..nina interest na uwezo wa kufundisha masomo ya computer kwenye shule/vyuo...kwa anaehitaj mwalimu wa computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nafiklia kufungua kampuni ya it........jijini dar es salaam ambayo itayoshughulika na vitu vifuatavyo 1.web designing and web hosting 2.online databack up 3.selling of computer...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MWALIMU WA KUFUNDISHA BASIC COMPUTER APPLICATIONS MS OFFICE(WORD,EXCEL,POWER POINT,MS ACCESS),BASIC COMPUTER USAGE SHULE(KA CHUO KADOGO) KAPO TABATA KISUKURU - MAKONDE DARASA NI LA WATU KAMA 20...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Digital Marketing Manager (San Jose, CA) Please direct your responses to: jeannie.fernandez@experis.com Job Title: Digital Marketing Manager/Strategist Duration: 6 mos (renewable per...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
7687637T3
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A teacher is needed to teach acca f6 taxation. should not have less than 2 years of experience in the reletive field. if intrested please email your cv to the following...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna topic ilikuwa ina sample of interview questions,naomba mwenye link hiyo anisaidie kwani kuna dogo anataka achungulie chungulie, inaweza msaidia ktk utafutaji ajira wake.nitashukuru.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ilikuongeza nafasi za kazi, naomba umri wa kustaafu upunguzwe ili vijana nao wapate nafasi. wanajamii mnalionaje hili?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa wale wanahitataji mhasibu wa parttime anapatikana bei maelewano
0 Reactions
1 Replies
1K Views
helo wadau. Naomba kuuliza kama kuna mwenye dondoo au tetesi kwa zile post za ajira zilizotolewa na serikali kupitia sekretarieti ya ajira. Ni ndani ya ufaham wangu kwamba, majina hutolewa wiki...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Hello happy people, una organization ambayo inayo ofisi dar es salaam, naitaji kutumia org yako kufanya project yangu. Kama unayo ambayo imesajiliwa na ina ofisi please tuwasiliane...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuona wamezidiwa na wizara ya elimu wizara ya afya waongeza waajiriwa 488 bofya www.moh.go.tz
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ebana wadau wana jf, hii siyo tetesi, bali nina ushahidi, NIDA wanaitana kwa kujuana. Nina jirani yangu mmoja ameitwa interview tayari. Nilimuuliza ali-aply lini akasema wala hakuwahi apply...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa zile note counters 17posts bank of tanzania (bot) wameshaita au bado
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu majina yapo nenda fasta hapa www.pmoralg.go.tz. www.utumishi.go.tz
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salamu wadogo zangu,kaka zangu na wengine woote wana jamii wenzangu.Nimeperuzi katika Vyanzo mbalimbali na kukuta nafasi hizi za Kazi. NB: 1.Apply Haraka kwakuwa zingine deadline yake iko...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…