Ndugu ingia hapa kwenye link jaza hii nafasi na zingine naweka chini yake kazi za UNICEF TANZANIA.
http://legacy.intracen.org/appli1/jobman/viewpdf.aspx?vid=11118
UNICEF VACANCIES IN TANZANIA...
Habari jaman ndugu wa Jf hapa kuna bussiness ya flat screen samsung inch 22 na 32,bei zake ni 350,000 na 650,000 consecutively.contact if uneed it 0787 027214
Nadhani tunakubalina na ukweli kwamba Wageni wanaokuja kufanya kazi nchinihasa kwenye makampuni na mashirika ya kigeni wanawazidi wazawa kwa kukubarikakatika utendaji kazi wao.Nimelifuatilia hili...
Jamani naomba mnisaidie maana kila nikiona namba mpya inaita kwenye cm yang u nadhani ndio wananiita U/bagamoyo maana napenda sana nikafanye kazi nao,bora nifahamu ili labda nizoee kam walishaita...
Sijawahi ona hali kama ya leo hapa Diamond Jubilee kwa haraka harka nikihesabu watu waliokuja kwenye interview ukumbi mzima ulijaa na ukatapika labda wizara husika ingelikuwa inahudhuria interview...
This message was forwarded to me via scikits-image@googlegroups.com, for those who like to cross boundaries, give it a try.
Dear all,
A 1-year Python (and ImageJ) developer position on...
Wale wanaokidhi vigezo
POWER SYSTEM MANAGER
Qualification: Advanced Diploma in Electrical Engineering or
equivalent
Apply: Power Generation
Services Ltd
Box 11609, Dar es Salaam
Details...
Video hizi ni za ukweli, hii ni new technology.
Computer applications:
1.Introduction to computer,email,internet and ms office 2003 video.
2.Microsoft Word 2007 video
3.Microsoft Access 2007 video...
Wakuu.
Nina BA Economics plus MBA Marketing. Sina experience yoyote zaidi ya field attachmden ya Project Planning. Yoyote mwenye fursa niko tayari. Mimi niko Dar.
Naomba kuwasilisha
Dear JF members and public as all,we are looking for Accounts Assistant.the candidate should be a form six holding Accounting Technician Certificate(ATEC) issued by NBAA.send only your CV to...
Waungwana nimesikia BBC jamaa mmoja anahojiwa kanasema eti kama mwanaume ameangaika bila mafanikio na anataka kutafuta kipato basi kazi rahisi kabisa kufanywa kwa mwanaume ni uandishi wa habari je...
Habari,
Kwanza napenda kushukuru kwa JF kutupa fursa ya habari mbalimbali, mimi ni kijana wa kiume na dereva mzuri nina leseni class E. Naishi Dar es Salaam, wadau naomba mnisaidie natafuta kazi...