leo nikiwa natoka ndani ya majengo ya TIRDO nimesimama nje pale kusubiria magari jamaa kama watatu hivi na dada mmoja walikuwa wakiongea nanukuu maneno yao "watu wansumbuka san nafasi hizi za kazi...
Wapendwa yeyote aliye na news kuhusu interview tuliyofanya ya udom' asistant accountants' na pspf 'operation oficerz', kama walishaita tena au vp? Maana tunasubirii had bac jaman
Group Record to Report Manager at East Africa Breweries Ltd in Nairobi
Brand Manager at East Africa Breweries Ltd in Kampala
AREA SALES MANAGER at East Africa...
VACANCY ANNOUNCEMENT
Applications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians
for the following vacant posts Advertised by The African Association for
Public Administration...
Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe...
Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.
The UCL School of Energy and Resources, Australia (SERAus) offers a variety of government and industry scholarships to attract highly motivated, talented students to apply to study in our...
Nahitaji msichana wa kazi haraka. Kituo cha kazi ni Dar. Asiwe ana mtoto wala asiwe ameolewa (sina nia mbaya na hili, nina maana yangu). Atakayekuwa tayari naomba aniPM tuwasiliane zaidi.
Nimecheki detaails zake ila nilipofika hapa nikakwama.
"Please note that you will not be able to access the online application form unless you have applied for admission to the University of...
Jamani waJF naomba msaada wa majina ya applicants ktk posts za Assistant Accountant maana advert ya leo ktk mwananchi watu imewachanganya ukiingia kwenye www.nictanzania.com hakuna issue yoyote...
jamani hali ya hewa si nzuri kwenye mashirika haya ya hifadhi ya jamii rushwa zinazotembezwa kwa ajiri ya ajira utashangaa mfano halisi ni nssf jamaa yangu mmoja kaniambia kama nina laki 8...
Habari zenu wanaJF? Narudi tena jamvini nikiwa ninahitaji msaada wa kibarua cho2te,najua humu ndani kuna wa2 tofauti tena ht kibarua cha kuuza duka mradi kipato as i am form six leaver. god blec u ol.
dUH WANDUGU MBONA SIKU HIZI KAI NGUMU HIVI KULIKO HATA KUPATA DEGREE SASA SISI MA JOB SEEKERS TUTAFANYAJE. I AM A JOB SEEKER PLSE WENYE NETWORK ZENU HELP ME.