Kwa yeyote yule anayehitaji walimu wa kufundisha masomo ya ICT na kusimamia mifumo ya mawasiliano ktk shule yake au kutengeneza mifumo hiyo na ushauri juu ya kuwa na mifumo ya mawasiliano katika...
jamani kwa mtu yeyote ambayo computer yake ina tatizo na unahitaji kuirekebisha just call me kwenye 0752 389090 or 0717 069294 pia kama unahitaji vifaa mbalimbali vya laptops vinapatikana kama...
Hii kali mwaka huu hivi imagine mkurugenzi kweli anaamua kutangaza kwenye newspaper wale wote waliomba kazi ya Assistant Accountant waende kwenye written interview na for more information tembelea...
The University of Edinburgh will offer three scholarships to students from Tanzania for postgraduate Master's study in any subject offered by the University for the 2012-2013 academic session...
It has come to my attention now days thereis new trend in recruitment procedure, especially in the public sector. For exampleyou may find an organization has advertised 1 position but yet they...
ikiwa unahitaji mtu wa kukusaidia katika utendendaji katika biashara zako usijali kwani kuna kijana ambaye ni mzoefu yupo kukusaidia kwa muda mfupi sana kuanzia leo jumatano kijana huyo yupo...
Wana jamii mi ni mjasiliamali pia nimeajiliwa kampuni moja ya ICT inayoitwa SCI iko pegiot house naomba kwa mtu yeyote kama atakua anahitaji sage Accounting package anicheki kwa namba hizi...
Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za UDSM wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi June alafu mpaka sasa wamepiga kimya. Kwa kweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 3-day Intensive CISA Exam Boot Camp geared toward developing knowledge and practical skills to enable CISA candidates to pass CISA exam to...
Nawashangaa waajiri wa Tanzania.Kimsingi hawana busara. Wanataka kuajiri watu wenye uzoefu bila kuwapa watu nafasi za kupata huo uzoefu.Tabu kubwa ni kua huu uchumi wa `kimachinga` unaendeshwa na...
Wenye taarifa wadau kama huku kuitwa kwa mafungu kumekamilika. Napenda kujua kwa walioomba nafasi college za education na government and leadreship kama wameitwa nao. nawasilisha
Ndugu wanajamii, jana nimeona hawa watu wa tra wakisema katika moja wa vyombo vya habari hapa nchini, kuwa wanatarajia kuajili watu kwa ajili ya makusanyo ya kodi za ndani! Swali ni je!? Zile...
Bandugu wanaJF, kuna hizi nafasi za kazi zimetoka kwenye The Guardian Nov 4 za the so called Agribusiness, kwenye site ya Zoom zimeelezwa kwa kifupi kupita maelezo hakuna requirements wala...
Wana JF naomba kujua utofauti baina ya Partial transcript and Full Transcript nasema ivyo kwasababu kwenye vacancies nyingi wanazotangaza
unakuta wanasema partial Transcript are not allowed only...
Ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.