Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Closed
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
EGPAF TANZANIA - JOB OPPORTUNITIES ANNOUNCEMENT Title: Field Office Program Co-coordinator Location: Tabora Reports To: Associate Director of Field Programs Essential...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Imehamishiwa siasa forum
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WORKING AT AL JAZEERA KISWAHILI CHANNEL The Al Jazeera Media Network in Doha, Qatar will be...
5 Reactions
20 Replies
8K Views
mimi nimemaliza Ifm nina advanced diploma ya computer science, nina uzoefu wa miaka miwili katika maswala ya video editing kwa kutumia program za ADOBE PREMIUM PRO 3, ULEAD NA PINACLES.Pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliomba kazi NHC ambayo ilitangazwa mwezi wa sita na deadline ya kuapply ilikuwa tarehe 27/06/2011. Title ya kazi ni SENIOR FRAUD INVESTIGATION OFFICER (Ref.No.SFI/nhc/2), je kuna mtu mwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jm.ikitokea kazi hiyo nina uzoefu nayo natafuta
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DATABASE APPLICATION RISK OFFICER - 2 POSTS Reports to: Head of Division Location: Head Office- System Risks Department Job Purpose: Contributing inputs in formulating...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani si mnajua kesho ndio interview, anae fahamu jamaa maswali yao yanakuaje atusaidie tujikomboe katika hili si mnajua mtaani pagumu ndugu zangu nawasilisha.
0 Reactions
40 Replies
11K Views
wadau nilikuwa nauliza eti barua ya maombi ya kazi inayopendekezwa ni ya kuchapa au kuandika kwa mkono. Naomba msaada wenu jamani
0 Reactions
12 Replies
11K Views
http://www.udom.ac.tz/DOCUMENTS/Vacancies.Administrative%20Staff%20July,%202011.pdf
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Data Entry Work | Data Entry Jobs | Data Entry From Home | Data Entry Home Work
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Are you a student looking for a part time job to pay your tuition? Do you want to work and earn money but cannot go out of your house too APPLY NOW
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fungua hapa na uanze kutengeneza mamilioni ya fedha online kwa mwezi bure badala ya kucheza katika facebook
0 Reactions
5 Replies
2K Views
natafuta kazi lakini sina cheti chochote cha ujuzi lakini naweza kwa asilimia mia 100% kazi karibu zote zinazo husiana na computer:-1.computer repair 2.graphics design 3.video editing music na...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Urgently looking for Electronics and white goods ((fridge, microwave, cookers and washing machines) technicians Also looking for sales managers and executives ( engineers with lubricants...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hellow wanajami, naomba tumsaidie huyu daa katika kazi yeyote itakayo jitokeza.ana form 4 ya div 4 na cheti cha secretary.tumsaidia angalau na yeye apate angalau kipato.yuko dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp wadau nina shida na email pamoja na posta box no ya ngo yeyote hapa tz.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Open Position: Manager Internal Audit Reporting Office: Head Office. Reports To: Chief Internal Auditor Start Date: One month after the initial advertisement. Background – TANESCO Ask Jeff -...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, NGO nyingi zinazojishughulisha na ukimwi au kilimo ambazo zinpata fund kutoka USIAD hivi karibuni zimekuwa zinatangaza kazi za aina ifuatayo:Agriculture specialists,livelihood...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…