Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mambo wana JF! Mim ni member mpya nimejiunga nanyi ili nipate mawazo na ushauri wenu. Katka pitapita yangu nimekutana na issue ambayo mpaka sasa siielewi vizuri. Nikahc pengne ndio wale matapeli...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu habari ya mihangaiko ya maisha. Sina uhakika kama hii taarifa imeshawekwa hapa kwenye forum. Kwa taarifa tu nikwamba UDOM wametangaza kazi za administrative. Tafadhali fuatilia hii kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
desktop za dell brand new specs HDD ni 250GB Ram2Gb na processor speed ni 2.9Ghtz kwa Tsh 600,000 ni CPU na Monitor ya 15inch. kwa mahitaji piga no 0715 414162 NB:Kuna punguzo atayechukua kwanzia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada wakuu- naombeni mnisaidie pa kulipata lile tangazo la nafasi za kazi TAWLA MANAKE WAMENISHORTLIST KESHO NI INTERVIEW NA TANGAZO LA LILE KAZI SINA..JUST 4 REVIEW...PLEASE!!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size) naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Bofya hii link kwa matokeo zaidi. Redirect
0 Reactions
2 Replies
2K Views
There have never been more passive income opportunities than there are today. Thanks to the Internet, passive income no longer has to be a join Now
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau mnaweza kufungua website ya BOT. Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Are you looking for any of the available work at home computer jobs? The internet is full of promising opportunities that could help you APPLY NOW
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hi guys nina degree ya linguistics natafuta kazi hasa za zinaaoendana na writing skills kama vile editing,translation na proofreading wapi ntapata kazi hizi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna watu wanatuma emails za kuita applicants katika interview wakati si wahusika wa aar health services jihadharini sijui documents wanazitoa wapi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
... From: To:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau ambao tunatafuta kazi na kutegemea ajira na ambao hatuna uzoefu wa kazi i.e experience tushirikiane kuishinikiza serikali yetu ili ikomae na makampuni yote ili yatoe vipengele vya uzoefu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kijana wa kitanzania aliye lelewa na mzazi "mvuja jasho" kwenye nyumba ya kupanga, leo hii anaambiwa aweke dhamana isiyo hamishika kama vile nyumba, kiwanja ili apate mkopo, wavaa suti wanamwambia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wakuu mwenye taarifa au alieko karibu na hawa wakuu wa PCCB ajaribu kuulizia ni lini watatangaza hizo Ajira,natanguliza shukurani kwenu nyote
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF tafadhari kama kuna mwenye taarifa ya kuhusu nini kinaendelea pala DAWASCO baada ya intavyuu za nafasi ya Billing Officers naomba anijuze
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kuna yeyote anayejua kama kuna kilichoendelea katika ajira za nssf mara baada ya kufanya written interview pale ifm?mimi nilifanya katika i.t position
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba msaada,,, ivi maisha gombe national park kikazi yakoje
0 Reactions
19 Replies
3K Views
IT and computer software industry is currently experiencing a boom despite the economic meltdown the world over. Hence, the demand for well trained computer software professionals has also...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…