Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wale mlio na ujuzi wa online works au work at home mtusaidie na sisi housewife wa nyumbani tupate idea tuingize posho jamani msiwe wachoyo wa materials jaman! Nimewasilisha!
3 Reactions
22 Replies
397 Views
** There will be immediate job opportunities for 28 outstanding training participants** Who you are: Bachelor Degree holder in Education Commitment to a 3 week training in Dar es Salaam Proven...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira. Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!! Ni juzi...
3 Reactions
5 Replies
353 Views
Hoja hizi 3 ni hakika haziwezi kubishaniwa: 1. Kwamba, kama nchi bado tunalo tatizo la upungufu wa Walimu katika shule za msingi na sekondari. 2. Kwamba, serikali haiwezi kuajiri kila...
2 Reactions
4 Replies
203 Views
Kwa gharama nafuu ya Tsh.500/= kwa Ukurasa / Page, kazi yako ya nitaifanya kwa haraka, umakini na weledi, kwa kuzingatia usiri (Confidentiality) Procedure/Maelekezo Tutawasiliana kupitia. Namba...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Ajira ngumu tuanzishe NGO vijana zinalipa hata USA zipo!? Wakija Sanasema hata Tanzania zipo chagua mlengo wa NGO na anzisha NGO sasa Social Development Issues Disability Conference of States...
1 Reactions
29 Replies
871 Views
Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na...
1 Reactions
4 Replies
202 Views
Wakuu mko poa. Nmekuja kutafta fursa acha niende kwenye point.. Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designerna content creater. Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5. Aina za Kazi nilizowahi...
9 Reactions
16 Replies
328 Views
Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya bajaji mimi niko tayari. Nipo dar Hesabu wiki 100,000/= Mkataba wiki...
4 Reactions
11 Replies
388 Views
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi. Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi. Watu...
6 Reactions
134 Replies
16K Views
Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
1 Reactions
0 Replies
69 Views
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
5 Reactions
96 Replies
2K Views
Helen Keller International (HKI) is a nonprofit organization dedicated to saving and improving the sight and lives of the world’s vulnerable by combatting the causes and consequences of blindness...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am
2 Reactions
43 Replies
912 Views
Habarini Wana JF. Swali langu ni kwamba muhitimu wa kidato Cha sita ambaye hajasoma course yoyote ya hospitality Yani mambo ya hotel na housekeeping anaweza para temporary job hotelini? Mfano...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wapambanaji wenzangu. Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari. Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer...
3 Reactions
6 Replies
329 Views
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa...
2 Reactions
16 Replies
435 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…