hallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee...
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo...
Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server...
Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla...
CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community...
Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi...
Wazee wazee
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa sina kawaida ya kumalizia nyuzi ninazozianzisha kama ambavyo lecturers wengine wa JF walivyo pia
Sababu kubwa huwa ni mbili, kukosa interest au...
Hivi unajua nchini Tanzania kuna kiwanda ambacho kinahusika na kutengeneza ndege, inaitwa Airplane Africa limited ni kampuni iliyopo Mazimbu mkoa wa morogoro ambayo inamilikiwa na wawekezaji toka...
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering...
Bila shaka ilisha wahi kukupata hii...
Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui.
Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk.
Kuna muda...
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja...
Nimekuwa nikiona hizi alama zikijitokeza mara kwa mara kwa mpishano kwenye simu yangu ila sijajua zina maana gani.
Na je zinavyobadilika haziathiri ubora wa huduma kwa thamani ya fedha...