๐ ๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ผ๐ด๐น๐ฒ ๐ฝ๐ถ๐ ๐ฒ๐น
Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana ๐, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
๐ ๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ผ๐ด๐น๐ฒ ๐ฝ๐ถ๐ ๐ฒ๐น
Kama unatumia Google pixel nisikilize kwa makini sana ๐, kampuni ya Google kupitia simu zao za Google pixel Kuna feature Moja wameweka kwenye camera na watu wengi...
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐ฑ๐๐ธ๐๐น๐ถ๐๐ฎ
Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake.
Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code...
Teknolojia inazidi kushika kasi watumiaji wa window 11 na window 10 wamewekewa mfumo Rahisi wa kuweza kuingiliana kati ya simu na kompyuta na kuweza kutumika bila shida yoyote.
Tunajua wengi...
Kama una mpango wa kudumu wa kupata dollar 100-200 kutwa kupitia app yako achana kabisa na google adsense[admob] wewe kiroho safi bila invalid wala pressure weka fb ads.
Taratibu ndiyo mwendo...
Construction sites โ contracts out and about today are synonymous with the deafening sound of machines and people buzzing around, the never-ending pressure to finish activities. But the truth of...
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k
Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya...
Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet
Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet...
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina...
Habari wadau humu jukwaaani,
Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.
Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo...
Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen...
TikTok itafungwa 2025
TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani...
Teknolojia hii balaa
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Tomas Vega mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Augmental, ameleta teknolojia mpya ambayo itaweza kuwasaidia wale watu wenye tatizo la...
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence.
Kampuni hiyo iliweza kutangaza...
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua...