Wakuu habari za muda huu? Nataka kununua Tv lakini sijui nizingatie nini katika kununua, ukizingatia sijawahi kununua Tv kabla.
Pia naomba tofauti kati ya android na smart Tv ipi ni bora kwa...
ITS iphone guys!!
probably the most overhyped mobile phone of all times!!it somehow lives up to its hype.and somehow below par.
BUT all in all it sets a whole new level of how mobile...
Kwema viongozi. Kama inavyojieleza,
Nikiwasha laptop inawaka lakini inaishia hapo kwenye BlacKScreen, wakati nilikuwa naitumia vizuri tu nikaizima. Kuwasha ndio kila nikijaribu inaishia kwenye...
Wakuu heshima kwenu, naomba anae jua app inayo tumika kucholea ramani za mashamba kutumia coordnets , nimeshasoma gps za kila kona nataka kuchora ramani na kujua ukubwa
Nawasilisha
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS...
Kwa wale wenye uelewa wa crypto & blockchain je kuna uwezekano wa kuibuka algorithmic decentralized stablecoin itakayoweza kushindana na UST
Najilaumu sana kutoinunua luna mapema maana inaonekana...
Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei...
Hello members,
Nilikuwa ninaomba kuelekezwa namna ninavyoweza kubadilisha .bin file into pdf hasa namna ninavyoweza kusoma files/documents za humu JF ambazo zinakuwa katika mfumo huo wa .bin
Ahsante.
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now...
Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa.
Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo.
Yapi maoni yako
Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.
Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.
Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu...
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Habari wadau wa tech. Usb yangu ya chaja orijino ya samsung imeharibika. Nikichaji cm inachukua muda mrefu sana kujaa. Jana nimejaribu kutumia usb nyingine cm imejaa hataka sana. Naombeni kujuzwa...
kuna njia nyingi ambazo zinaweza tumika kuipata simu yako iliyoibiwa, lakini hapa ntaorodhesha chache na nitaelezea moja ya uhakika ambayo ndio hutumiwa na polisi kuweza kupata simu iliyoibiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi...