Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo...
4 Reactions
3 Replies
514 Views
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
2 Reactions
8 Replies
329 Views
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information...
4 Reactions
7 Replies
498 Views
Tupitie pamoja flagship soundbars. 1. Nakamichi Dragon 11.4.6 : Description:Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni...
3 Reactions
9 Replies
859 Views
- πŸ† ChatGPT - IOS ➜ - Android ➜ - ⚑ Socratic AI - IOS ➜ - πŸ’Ό Perplexity AI - IOS ➜ - Android ➜ - 🌐 Fireflier.ai - IOS ➜ - Android ➜ - πŸ–ΌοΈ Canva - IOS ➜ - Android ➜ - πŸ’‘...
2 Reactions
5 Replies
346 Views
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wataalam km mlivyosoma heading maisha magumu tumejiajili online naomba msaada account ya fb iwe na followers tu iache friend requests maana nimebadilisha kuwa followers lakini maombi...
1 Reactions
5 Replies
323 Views
Wasalaam, Kuna jamaa yangu alichukua simu ya mkopo (samsung galaxy A04), ambayo amekuwa akilipia kila baada ya wiki 1, na sasa amemaliza deni lote lakini cha ajabu baada ya malipo ya mwisho simu...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu za majukumu. Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba. Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno. Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo...
1 Reactions
8 Replies
484 Views
Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Habari, Tatizo la bili kubwa ya umeme kwa wateja limekuwa likiwasumbua sana. Zipo sababu za matatizo ya kiufundi, lakini pia kuna sababu ambazo si za matatizo ya kiufundi. Tunapokagua nyumba na...
40 Reactions
89 Replies
19K Views
Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
MBPS = Mega Bytes Per Second Mbps = Mega Bits Pee second Byte 1 ni sawa na Bits 8. Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku...
5 Reactions
5 Replies
656 Views
Ndugu wadau Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Wataalam. Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed: Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja...
1 Reactions
7 Replies
767 Views
inahitajika housing ya hii laptop. Mwenye nayo ajitokeze
2 Reactions
2 Replies
205 Views
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!! Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
===== UPDATED: July 2021 This wikiHow teaches you how to download YouTube videos to your computer, phone, or tablet. Keep in mind that while downloading most YouTube videos isn't illegal, it...
1 Reactions
2K Replies
643K Views
Habari... Naomba namna ya kutengeneza picha kama hizi. Zenye hizo caption. Kwa simu au computer
2 Reactions
2 Replies
358 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…