Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account
Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho...
MREJESHO: Kwa wale wazoefu wa smart tv, naomba ushauri juu ya hii tv.. Bei ni kama 800k.
BRAND SkyWorthMODEL43S3A31T
color black
SCREEN SIZE43 Inch
SCREEN type smart LEDHD
technology full HD...
Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu.
Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba...
Habari wakuu! Jamani Kuna ndugu yangu akaunti yake ya Facebook imehakiwa (imedukuliwa) siku kadhaa zilizopita.
Picha lilianzia pale alipotumiwa link kupitia messenger na rafiki yake ambayo...
Video Summary:
The author(in Video) is discussing why many authors are afraid of Artificial Intelligence (AI) and its potential impact on their work. The main reasons for this fear are:
1...
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani.
Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
Habari za weekend wakuu, tafadhalini naombeni mnijuze tofauti za kiuwezo kati ya phone cameras na kamera za kawaida na je ni kweli baadhi ya simu zinazidi uwezo kamera za kawaida?
Nawasilisha...
Habari, Hivi karibuni tumefungiwa akaunti yetu kwa kushare na watu link ambayo hata sio dofollow, tunaona sababu hizi sio za msing kwani watu wengi hu share link mbalimbali hapa JF bila kufungiwa...
Simu za Oppo, Vivo, Aquos zikoje na ubora? Wana matoleo mengi balaa
Oppo zimefurika sana Tanzania hizi simu yaani wana matoleo mengi balaa hata bei zake sio ghali sana
Wakuu kuna simu nimeona...
Wakuu habari zenu....,!
Simu yangu wakati nikimpigia mtu, mwanga hutoweka.
Nilianza kuhisi labda shida ni protector lakini nilitoa na tatizo lipo palepale .
Hii inaleta changamoto maana nashindwa...
Tabllet aina ya MPman kwenye kioo pembeni imeandikwa ARCHOS. Nilibadili kioo baada ya origal kuvunjika, fundi akaweka cha Itel company maana original havikuwepo madukani.
Kasheshe Tablet imewaka...
JF wazima?
Pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu
kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. Dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3...
Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga
Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni...
Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi...
Kama umekuwa unakutana na hii page (katika picha hapo chini) kila unapofungua Microsoft applications (Ms word, Ms Excel etc) basi leo nitakuelekeza namna ya kuondoa hili tatizo, fuata hizi hatua...