Billions of subatomic particles race towards Earth, creating tiny black holes upon impact with the atmosphere, only to vanish within microseconds. To understand the composition of an actual black...
Habari Wanajukwaa
Kama lilivyo swali hapo juu, je naweza kupata saa itayonisaidia kunijuza umbali niliokimbia
Kama zipo bei yake inasimamaje, na ipi itakuwa nzuri zaidi
Ahsanteni
Kuna yeyote aliyewahi solve hii changamoto
Laptop yangu aina dell inspiron 3576 Kila nikichomeka adapter haijazi battery inastuck hapo kwenye asilimia 0%
Msaada wanajamvi
Habari,
Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo...
Wakuu hili tatizo kwangu ni zaidi ya siku 5, ni hivi facebook haifunguki kwenye browser (chrome), nimefanya troubleshoot ya kila namna lakini wapi!
Ila cha ajabu Airtel hata Halotel inafunguka...
Tasnia ya Tehama ni kipengele ambacho kina lipa na wala sio siri , Tatizo kubwa kwa mtu mmoja mmoja linakuja pale anapo gundua anatakiwa kuwekeza muda zaidi ili jambo flani kukaa sawa.
Wakati...
Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority...
Itumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV
Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho...
Habarini wana JF
Kuna changamoto nimepata nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida
Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash...
Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
Salamu wakuu
Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
Wakuu Habari zenu?
Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao...
Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui.
Naombeni uzoefu wenu jamani.
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL..
Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi...
Utangulizi wa java SOMO 1
Java
Ni lugha ya compyuta maarufu iliundwa mwaka 1995. Hadi sasa inamilikiwa na Oracle na inatumika ndani ya zaidi ya vifaa Billion tatu (3).
Java inatumika katika...
Somo 2
Java syntax
Kwenye somo lililopita tulitengeneza faili ya java Main.java na tulitumia code hapo chini ku print " Hello World".
public class Main{
public static void main( String [ ]...
Wakuu Heshima mbele.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji...
Simu za Xiaomi zina features nyingi za kuvutia bila kupoteza muda naanza direct kuonesha features hizo
1. Hypercharging Ability
Xiaomi anatumia technology yake ya Xiaomi Hypercharging technology...