Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi
Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza
Ni mara chache sana unakutana...
Wanajamvi nawasalimu ....
Katika pitapita zangu za utafutaji nitokea hapa kwa hawa jamaa PAYONEER wallet. Nimefungua akaunt vizuri ishu ikaanza kwenye kuverify document kati ya hizi
utility bill...
Anayefahamu namna kuset Auto Call recording kwenye Samsung A14 naomba anisaidie, simu yangu inagoma hata niki download App ya kurecord haifanyi kazi inasema nitumie Auto Call recording ya ndani ya...
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza...
Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu?
Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa...
Quantum physics
Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano
Time travel
Worm holes
Time dilations
Light&gravity
Time travel
Ushawahi sikia mtu anatoka...
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha...
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta...
Wakuu kama kichwa kilivyo jieleza hapo juu inshort nashindwa kuelewa tatizo hili yaani utakuta button za chini (yaani home, background, back) ambazo ni touch screen zinajitouch na sanyingine...
Nini kinasababisha window 10 kula data sana kuliko window nyingine kama 8..Mwanzo PC yangu ilikuwa inatumia window 8 ilikuwa nikiunganisha hotspot mb500 unaweza Fanya vitu vingi na zisiishe lakini...
Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali.
My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda...
Nina kablog kangu nilitengeneza kwa blogger sasa nataka sasa nihamie wordpress ili kawe na muonekano mzuri
Huko nasikia kuna mambo ya kununua server
Sasa nilitaka kujua kuhusu ukubwa,aina na...
Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze...
Kampuni ya Maarufu ya utengenezaji wa vifaa vya kieletroniki nchini china Vivo kwa mara ya nyingine tena anakua mdhamini wa mashindano ya UEFA kwa mwaka 2024.
Vivo ambaye ndo mshindi binafsi wa...