Habarini,
Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila...
Habari,
Natoa Training ya Python for data analysis.
Modules to be discussed
1.Pandas
2.Numpy
3 Matplotlib
4.Seaborn
Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali
Training Period: 30 days...
Niko mbioni kununua pikipiki au baiskeli hizi za kuchaji. Hii ninayotaka kununua inatembea km 60 then ndo itatakiwa ichajiwe. Sasa nilichokiwaza ni hiki, vipi kama hiki kifaa nikikiunganisha na...
Nakuja mbele zenu kwa unyonge kabisa naomba nipewe msaada wa App ambayo naweza kuweka picha moja tu full then niadd Audio kwenye hiyo pic (pic +Audio=video)
Future zake iwe angalau inaplay video...
Hatua 6 za Kubobea lugha flani ya compyuta
Siko mbali sana kwenye maana hii nimejitahidi kusema nilichokusudia
Computer is any electrical device that take input, process it and give out an...
Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?
Nahitaji kununua friji na...
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then...
Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo...
●In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games
SEOUL, Korea –...
EWE MWALIMU USIIOGOPE MIFUMO BALI JIFUNZE KUITUMIA
Mwishoni Kuna link ya channel follow hiyo channel Kwa Mafunzo zaidi.
MAFUNZO MAFUPI YA MFUMO WA EMPLOYEE SELF SERVICE NA MODULI YA UPIMAJI KWA...
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.
Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.
Kuna jamaa angu...
Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to...
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji...